Hivi mwanaume utaachajwe kwa mfano!!?

Hivi mwanaume utaachajwe kwa mfano!!?

Sifa kuu ya mwanaume ni pamoja na kuchagua mwanamke na kuacha mwanamke!Nina wasiwasi na wanaume wanalialia kwenye social media eti wameachwa!!ukiona mwanamke anaanza kuchelewa kujibu SMS zako na mwanzoni haikuwa hivyo!wewe piga chini!
Ukiona mpenzi wako anakupa K kwa masharti mengi wakati mwanzoni haikuwa hivyo!huyo piga chini!
Ukiona demu analilia shinda mizinga haiishi huyo piga chini apambane na hali yake!
Ukiona demu akuandikii message hadi uanze wewe na mwanzo hakuwa hivyo wewe huyo piga chini
Ukiona mwanamke kila kukicha anajifanya ana rafiki wa kiume na mwanzo haikuwa hivyo wewe usimcheleweshe piga chini
Ukiona mwanamke kila jambo dogo anaanza kununa usimcheleweshe piga chini!
N:B,mbinu hizi ni kwa wale wapenzi tu!kama umeowa wewe pambana na ndoa yako tu
That is what we call PIGA CHINI PRINCIPAL and it apply's only when a man is crazy
 
Wanaume wa Dar ndio hawana hiyo jeuri!lakini sisi tunapiga chini tu[emoji23] [emoji23]
Unaweza ukadhani umemwacha kumbe wewe ndo umeacha alikuwa hajakwambia tu, unajua sisi huwa tunawaacha kwa vitendo
 
Sasa heshima inapotezwa na PM?

Acha uchoyo bhana

Bibi yako kasafiri. Kanipa baraka zote za kuchat na wewe
Hapana babu, Kuna mjukuu wako pia hapo juu anataka aje pm mtagongana, by the way bibi alishatuonya
 
Sifa kuu ya mwanaume ni pamoja na kuchagua mwanamke na kuacha mwanamke!Nina wasiwasi na wanaume wanalialia kwenye social media eti wameachwa!!ukiona mwanamke anaanza kuchelewa kujibu SMS zako na mwanzoni haikuwa hivyo!wewe piga chini!
Ukiona mpenzi wako anakupa K kwa masharti mengi wakati mwanzoni haikuwa hivyo!huyo piga chini!
Ukiona demu analilia shinda mizinga haiishi huyo piga chini apambane na hali yake!
Ukiona demu akuandikii message hadi uanze wewe na mwanzo hakuwa hivyo wewe huyo piga chini
Ukiona mwanamke kila kukicha anajifanya ana rafiki wa kiume na mwanzo haikuwa hivyo wewe usimcheleweshe piga chini
Ukiona mwanamke kila jambo dogo anaanza kununa usimcheleweshe piga chini!
N:B,mbinu hizi ni kwa wale wapenzi tu!kama umeowa wewe pambana na ndoa yako tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kama umeoa pambana na ndoa yako, umenifurahisha hapo
 
Hapana babu, Kuna mjukuu wako pia hapo juu anataka aje pm mtagongana, by the way bibi alishatuonya
Yani wewe kachoyooo. Visingizio tuuu. Hako kanakokufuata PM kaambie nitakaroga nikabadili jinsia afu naihamishia kisogoni
 
Yaani kwa jinsi ulivyoandika ni kama kitu rahisii vile.

Kupenda kitu kingine bana.
 
Back
Top Bottom