Hivi mwanaume utaachajwe kwa mfano!!?

Hivi mwanaume utaachajwe kwa mfano!!?

Ebwana eeh nimepata kama 10,000$ nataka nichukue ndinga. Hivi kati ya Colbat na Golf GTI ni ndinga gani kali hapo nichukue na mimi nitambe road?

Ipi ina spidi, handling na acceleration nzuri?

Nacheza gemu ya Need for Speed Most Wanted sasa nataka gari ya uhakika ya kuwatoka askari na hawa Blacklist members.

Msaada tafadhali.
Chukua GTi mzeiyaa...na Nitro jaza humo
 
AISEE HUONI JAMAA LINALIA LIA THREAD FULAANI ETI YUKO DAR MWANAMKE MKOANI MARA ANATAKA GARI MARA AMETOA BKIKRA NA DILDO AF ETI MWANAUME YULE YUPO...AISEE JEURI TUNAYO WACHACHE NAON AKUNA WATU BADO WANAHARIBU SIFA HIZI ZA KIUME ZA PIGA CHINI FASTA
 
Piga chini, mwanangu huwezi kuamini....

DEMU ukimzimika lazima urudi kundini...

Ukikolea, kupiga chini sio rahisi niamini...

Ukipiga chini kila siku atakujia AKILINI...

Haya Mambo ya MAPENZI kwa kweli hayaelezeki...

Haya Mambo ya MAPENZI kwa kweli hayazoeleki...

Hayajaanza JANA wala JUZI ni tokea ENZI na ENZI...

Hayana kwa KIJANA wala MJUZI haya MAPENZI...

Hayana kwa MZEE wala MWANAFUNZI au MJENZI...

Iwe FUNDI SEREMALA, muuza MBUZI au KINYOZI...

Ngoja nitulie nifuatilie Michango ya kwenye huu UZI...
 
We wasema mtu akikumbuka mambo aliyopewa hata demu aweje kivuruge jamaa hawezi piga chini
 
Kwenye heading yako andika ( Utaachwaje)badala ya utaachajwe.
 
Back
Top Bottom