Rasputin
JF-Expert Member
- Mar 13, 2018
- 557
- 692
Chukua Golf GTI handling yake ipo gud, sema acceleration na speed ukaongezee shop.Ebwana eeh nimepata kama 10,000$ nataka nichukue ndinga. Hivi kati ya Colbat na Golf GTI ni ndinga gani kali hapo nichukue na mimi nitambe road?
Ipi ina spidi, handling na acceleration nzuri?
Nacheza gemu ya Need for Speed Most Wanted sasa nataka gari ya uhakika ya kuwatoka askari na hawa Blacklist members.
Msaada tafadhali.