Hivi mwanaume utaachajwe kwa mfano!!?

Hivi mwanaume utaachajwe kwa mfano!!?

Yani wewe kachoyooo. Visingizio tuuu. Hako kanakokufuata PM kaambie nitakaroga nikabadili jinsia afu naihamishia kisogoni
We babu subiri mafao yako ya PSSSSSSF
 
Sifa kuu ya mwanaume ni pamoja na kuchagua mwanamke na kuacha mwanamke!Nina wasiwasi na wanaume wanalialia kwenye social media eti wameachwa!!ukiona mwanamke anaanza kuchelewa kujibu SMS zako na mwanzoni haikuwa hivyo!wewe piga chini!
Ukiona mpenzi wako anakupa K kwa masharti mengi wakati mwanzoni haikuwa hivyo!huyo piga chini!
Ukiona demu analilia shinda mizinga haiishi huyo piga chini apambane na hali yake!
Ukiona demu akuandikii message hadi uanze wewe na mwanzo hakuwa hivyo wewe huyo piga chini
Ukiona mwanamke kila kukicha anajifanya ana rafiki wa kiume na mwanzo haikuwa hivyo wewe usimcheleweshe piga chini
Ukiona mwanamke kila jambo dogo anaanza kununa usimcheleweshe piga chini!
N:B,mbinu hizi ni kwa wale wapenzi tu!kama umeowa wewe pambana na ndoa yako tu
Hahahaaa... hii itasaidia kuondoa vilio vya wavulana maana kila siku ni vilio
 
ndio ivoo
Sifa kuu ya mwanaume ni pamoja na kuchagua mwanamke na kuacha mwanamke!Nina wasiwasi na wanaume wanalialia kwenye social media eti wameachwa!!ukiona mwanamke anaanza kuchelewa kujibu SMS zako na mwanzoni haikuwa hivyo!wewe piga chini!
Ukiona mpenzi wako anakupa K kwa masharti mengi wakati mwanzoni haikuwa hivyo!huyo piga chini!
Ukiona demu analilia shinda mizinga haiishi huyo piga chini apambane na hali yake!
Ukiona demu akuandikii message hadi uanze wewe na mwanzo hakuwa hivyo wewe huyo piga chini
Ukiona mwanamke kila kukicha anajifanya ana rafiki wa kiume na mwanzo haikuwa hivyo wewe usimcheleweshe piga chini
Ukiona mwanamke kila jambo dogo anaanza kununa usimcheleweshe piga chini!
N:B,mbinu hizi ni kwa wale wapenzi tu!kama umeowa wewe pambana na ndoa yako tu
piga chiniiii wako wengiii tuu
 
Mm nimepiga chini totoz kibichi
Kalikuwa kanaringa ukigeiwa kwa masharti
Ya nini kutesana?
Maneno mawili tu
PIGA CHINI
Kidume nikapiga chini
 
Kumbe wenye mawazo hayo tuko wengi
Yaani mimi hata kama tumedumu hata wiki mbili hata kama sijakunanjilinjili nakupiga chini mapeema tuu
 
Piga chini mapema bila kupoteza muda[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom