Hivi Mwanaume kuzidiwa Umri na Mpenzi/Mwanamke wake ni miaka Mingapi wastani?


#Diamond mbona hamkuponda jamani kwa Zari?
Ukiwa na hela huwezi pondwa utaambiwa mnaendana

Ukiwa kajamba nani utaambiwa acha kuoa wazee .

Pesa pesa kuna utulivu ,heshima, na kujaliana

Pesa umasikini kuna fitna ,majungu,uchawi ,visirani,unoko, unaa,na kedekede
 
Kwa mwanamke kumzidi mwanaume umri siyo tatizo,Ila kama mnataka kuwa na watoto mliangalie suala hilo.Kwa mwanaume hutakiwi kumzidi sana umri mpenzi wako,kadri umri ulivyoenda na nguvu za kiume zinapungua.
 
Back
Top Bottom