tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,898
- 15,547
Wakuu,
Kabla sijampata miss right one, kuna wanawake nimekuwa nao lakini kila tukivurugana walikuwa wana tendency ya kuniambia kuwa siko romantic, lakini nikijicheck me nilikua nawatimizia mahitaji yao yote ya msingi lakini bado nikaambiwa siko romantic.
So kuwa romantic kukoje hasa wakuu?