Hivi mwanaume kuwa romantic ndiyo kuwaje?

Hivi mwanaume kuwa romantic ndiyo kuwaje?

Wakuu,kabla sijampata miss right one,kuna wanawake nliokua lakini kila tukivurugana walikua wana tendency ya kuniambia kuwa siko romantic,lakini nikijicheck me nlikua nawatimizia mahitaji yao yote ya msingi lakni bado nkaambiwa siko romantic.
So kuwa romantic kukoje hasa wakuu?
Huna kaka zako wakubwa hapo nyumbani uwaulize?
 
Angalia tamthilia za akina mama mushka, acapulco bay na isidingo utakuwa umemaliza mkuu.
 
Ukijikanyaga kuwa romantic utaimbishwa nyimbo za kina west life kila siku
 
mpe "nyama ya ulimi". talk sweet, be naughty and a gentleman pale panapohitajika. we mpumbaze tu kwa maneno na vitendo, lakini iwe pande zote mbili...its a two way street. kusema ukweli sisi wanawake tuko complex...sigh
 
Wakuu,kabla sijampata miss right one,kuna wanawake nliokua lakini kila tukivurugana walikua wana tendency ya kuniambia kuwa siko romantic,lakini nikijicheck me nlikua nawatimizia mahitaji yao yote ya msingi lakni bado nkaambiwa siko romantic.
So kuwa romantic kukoje hasa wakuu?
Labda uko mchafu mchafu. Huwa unafua na kunyoosha? Nywele unanyoa? Je unajua kudelkeza?
Je wewe ni msukuma?
 
Usilazimishe kuwa mtu tofauti na ulivyo lakini mfikirie mpenzi wako kabla, kama mnafika restarant unahakikisha umemvutia kiti na amekaa kabla ya wewe kukaa, date ya kwanza unalipa bill, kama unamchukulia tax lipa nauli kama ni dala dala mlipie pia.
True dat
 
Back
Top Bottom