Hivi mwanaume kuwa romantic ndiyo kuwaje?

Hivi mwanaume kuwa romantic ndiyo kuwaje?

Wakuu,kabla sijampata miss right one,kuna wanawake nliokua lakini kila tukivurugana walikua wana tendency ya kuniambia kuwa siko romantic,lakini nikijicheck me nlikua nawatimizia mahitaji yao yote ya msingi lakni bado nkaambiwa siko romantic.
So kuwa romantic kukoje hasa wakuu?

Kama unampa hela demu wako atakuwa anakuambia wewe upo romantic mno!
Hawa wenzetu kuwa romantic ni pesa tu wala isikukondeshe kwa mawazo,tafuta pesa mkuu
 
Kama unampa hela demu wako atakuwa anakuambia wewe upo romantic mno!
Hawa wenzetu kuwa romantic ni pesa tu wala isikukondeshe kwa mawazo,tafuta pesa mkuu
kwa hiyo sisi wenye pesa za kunywea togwa haitokaa tuwe romantic basi.
 
Hivi na bwana joni tunamtumia kama mfano hapa?


[emoji2] [emoji15] [emoji87] [emoji124]

Za leo dear, mzima wewe!, nilikuwa nasema hivi, kwa mfano huu basi umeshinda.
Naomba nisamehe sintafananisha tena na "kwetu"...[emoji1] [emoji28] [emoji23]
 
Usilazimishe kuwa mtu tofauti na ulivyo lakini mfikirie mpenzi wako kabla, kama mnafika restarant unahakikisha umemvutia kiti na amekaa kabla ya wewe kukaa, date ya kwanza unalipa bill, kama unamchukulia tax lipa nauli kama ni dala dala mlipie pia.
MWe MWe twifwa twilola
 
[emoji2] [emoji15] [emoji87] [emoji124]

Za leo dear, mzima wewe!, nilikuwa nasema hivi, kwa mfano huu basi umeshinda.
Naomba nisamehe sintafananisha tena na "kwetu"...[emoji1] [emoji28] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani nimecheka hili jibu.
Maana sio kwa uromantic huu anaotuonyesha.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Watakuwa wanamaanisha unanunka yaani unastink,, japo sina uhakika saaana.
 
Mkuu ningekuelekeza namna ya kuwa romantic. Lakini lazima uwe na tutabia twa uboyaboya fulani hivi. Wewe huwezi. Jiamini tu ulivyo mura!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani nimecheka hili jibu.
Maana sio kwa uromantic huu anaotuonyesha.


Hahah!, umeniweza kweli leo, sio kwa mfano huu yaani. Najaribu kupiga picha mzee akiwa kwenye hali ya U romantic, naona picha haipigiki. [emoji1] [emoji28]
 
Hahah!, umeniweza kweli leo, sio kwa mfano huu yaani. Najaribu kupiga picha mzee akiwa kwenye hali ya U romantic, naona picha haipigiki. [emoji1] [emoji28]
Hapo lazima picha iungue.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Usilazimishe kuwa mtu tofauti na ulivyo lakini mfikirie mpenzi wako kabla, kama mnafika restarant unahakikisha umemvutia kiti na amekaa kabla ya wewe kukaa, date ya kwanza unalipa bill, kama unamchukulia tax lipa nauli kama ni dala dala mlipie pia.
Thubutuuuuu
 
Leo kuna jamaa angu kajaribu kuwa Romantik kama mnavyoshauri aisee kaumbukaje?

Tulikuwa naye maeneo ya Kwa-Mromboo daladala ikaja watu nyomi eti yeye anaenda mfungulia demu wake mlango wa kifodi,Jamaa anasubiri dem apande na ye ndo apande ooh jombaa wa Arachuga si wakawahi zao ndani,haya akakodi taksi na alipofika Summit akawa mkewe anaenda msalani akaingia ndani kule kumeandikwa "ladies' eti anamfungulia mlango weee wamama wametoka baru huko ndani wakifikiri wanataka kubakwa!

Funzo:- Romantik peleka Kwenye tamthilia za kifilipino!
 
Wards of care. Like baby, honey , sweetheart, darling. Nk.
 
Back
Top Bottom