Mzee wa Wima
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 537
- 296
Nimekuelewa mkuunenda ofisi kuu
Anasumbuliwa na nini tena huyu mwanasheria wetu ??Nahisi ugonjwa umemtuliza na pia mission yake imeisha
Nahisi ugonjwa umemtuliza na pia mission yake imeisha
Huyu jamaa wakati kampeni zinaanza mwaka 2015 iliripotiwa amepatwa na kiharusi, alikimbiziwa India, lakini mwaka jana nilisikia afya yake imeimarika kiasi cha kuonekana hadharaniAnasumbuliwa na nini tena huyu mwanasheria wetu ??
wanadai yeye na marehemu Horace Kolimba walikuwa panya wa ikulu Tiss toka enzi za mwalimu. Walikuwa masharp shooter wa hatarii walikuwa wanaweza kukushoot kwa nyuma huku wanakimbia na wasikose target.Huyu jamaa aliwahi kuwa kada mtiifu sana wa CHADEMA, na kipindi kile cha M4C kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 aliwika kwelikweli. Nini kilichomsibu huyu mwanasheria wetu msomi ??
Wakina tamimu,Maganga (wahaini), wanawajua vzr.wanadai yeye na marehemu Horace Kolimba walikuwa panya wa ikulu Tiss toka enzi za mwalimu. Walikuwa masharp shooter wa hatarii walikuwa wanaweza kukushoot kwa nyuma huku wanakimbia na wasikose target.
Mzee moja wa kitengo nilishawahi kumsikia akisimulia
Eugene Maganga na Mohammed Tamimu wote wameshatangulia mbele ya haki. Sio rahisi kuwauliza kuhusu Mabere Marando.
Eugene Maganga na Mohammed Tamimu wote wameshatangulia mbele ya haki. Sio rahisi kuwauliza kuhusu Mabere Marando.
Sijui lakini nilimfahamu marehemu Maganga (tulimuita captain) mwaka 1981 alipokuwa anasoma Mlimani. Siku Tamimu anauawa Kinondoni ninaikumbuka vizuri tu.
Na Masiligi pia.wanadai yeye na marehemu Horace Kolimba walikuwa panya wa ikulu Tiss toka enzi za mwalimu. Walikuwa masharp shooter wa hatarii walikuwa wanaweza kukushoot kwa nyuma huku wanakimbia na wasikose target.
Mzee moja wa kitengo nilishawahi kumsikia akisimulia
Zecharia Hans Pop wa Simba anaweza kuwa shuhuda maana alishiriki, wapo kadhaa walio hai akiwemo Captain Badru Kajaja, Captain Vitalis Mapunda, Captain Rodrick Roshan Robert, ingawa huyu wakati furani afya yake ililegalega.Eugene Maganga na Mohammed Tamimu wote wameshatangulia mbele ya haki. Sio rahisi kuwauliza kuhusu Mabere Marando.