Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,669
- 22,256
Kisa cha mama huyu kinaleta taarifa ya mtoto kumrithi tabia mama yake, mama alikuwa na mabwana wa akiba na mtoto naye ana mabibi wa akiba.
Huyu anaitwa naseeb diamond platinums simba nyange dangote from madale.Dangote wa Nigeria namjua ila huyo mwingine Diamond dangote ndio nani?
Wanajf habari wakuu naomba tu kujua mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania je ana uhusiano wowote na tajiri billionaire kutoka Nigeria aliko dangote?