Hivi mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania ana uhusiano familia ya Dangote Nigeria

Kisa cha mama huyu kinaleta taarifa ya mtoto kumrithi tabia mama yake, mama alikuwa na mabwana wa akiba na mtoto naye ana mabibi wa akiba.
 
Wanajf habari wakuu naomba tu kujua mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania je ana uhusiano wowote na tajiri billionaire kutoka Nigeria aliko dangote?

Ndiyo ,Dayamondi Chibu Dangote anamwita Aliko Dangote Baba Mkubwa ,Mzee Abdul Ngange Dangote na Aliko ni Mtu na Mdogo wake.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom