Sio barakoa tu. Ni kama nchi inafumuliwa na kusukwa upya. Sasa yote haya mtu mmoja alikuwa akikohoa kila mmoja anafyataKwani shida iko wapi kujikinga .
Hata kama hakuna korona kuchukua hatua ni muhimu sana.hebu fikiria wenzetu huko india sasa hivi
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Habari .Najiuliza hili swali hadi nachoka. Kwa mapinduzi yanayoendelea leo kupitis awamu ya sita iliwezekanaje? Ni utii wa aina gani watu hujengewa? Au ni uoga wa aina gani watu hupandikizwa? Au ni heshima? Leo hii Rais aliye madarakani anasema ni mpumbavu pekee asiye ns akili kufikiria uhusiano na nchi jirani ni tatizo.
Leo naona barakoa kwenye matukio ya kitaifa. Ni walewale waliokatazwa leo wanavaa tena kwa uhuru na kutoa ufafanuzi kwa nini barakoa (mwanangu alikuwa akisema basikora).
Najiuliza, mfano mwendazake ndio angekuwa kamaliza muda wake halafu kaingia mama. Angefanya haya tuyaonayo ilhali mstaafu anaona?
Hivi toka Magufuli afe hadi sasa mbona umepita muda mrefu tu kama ingekuwa kweli hawavai barakoa kwa sababu ya Magufuli basi wangekwishaanza kizivaa mapema sana ila haikuwa hivyo, ukiangalia hizo barakoa zinavaliwa pale anapokuwa rais tu ila kwengine huwaoni kuvaa.Najiuliza hili swali hadi nachoka. Kwa mapinduzi yanayoendelea leo kupitis awamu ya sita iliwezekanaje? Ni utii wa aina gani watu hujengewa? Au ni uoga wa aina gani watu hupandikizwa? Au ni heshima? Leo hii Rais aliye madarakani anasema ni mpumbavu pekee asiye ns akili kufikiria uhusiano na nchi jirani ni tatizo.
Leo naona barakoa kwenye matukio ya kitaifa. Ni walewale waliokatazwa leo wanavaa tena kwa uhuru na kutoa ufafanuzi kwa nini barakoa (mwanangu alikuwa akisema basikora).
Najiuliza, mfano mwendazake ndio angekuwa kamaliza muda wake halafu kaingia mama. Angefanya haya tuyaonayo ilhali mstaafu anaona?
Mwenye hekima akishika hata kisu mkononi mwake, bado unaweza kubishana naye. Lakini usithubutu kubishana na mtu ambaye unahisi ana matatizo ya akili, akiwa ameshika kisu.Sio barakoa tu. Ni kama nchi inafumuliwa na kusukwa upya. Sasa yote haya mtu mmoja alikuwa akikohoa kila mmoja anafyata
Saa tatizo mtu mmoja kashika kisu na watu mia wanamtazama huku wakiwa na hofu ya kumporaMwenye hekima akishika hata kisu mkononi mwake, bado unaweza kubishana naye. Lakini usithubutu kubishana na mtu ambaye unahisi ana matatizo ya akili, akiwa ameshika kisu.
Mwendazake alikuwa mwendawa.... na ndo maana jana kwenye uzi nilisema kuna tatizo kubwa sana kwenye mfumo na sio mfumo wajuu tu kwanzia chini kabsa ngazi za mitaa civil servants wanatatizo si wote bali asilimia kubwa haiwezekani katba inavunjwa na wanakula scrutinized wanaenda kama sijui nn people don't question themselves neither their leadersNajiuliza hili swali hadi nachoka. Kwa mapinduzi yanayoendelea leo kupitis awamu ya sita iliwezekanaje? Ni utii wa aina gani watu hujengewa? Au ni uoga wa aina gani watu hupandikizwa? Au ni heshima? Leo hii Rais aliye madarakani anasema ni mpumbavu pekee asiye ns akili kufikiria uhusiano na nchi jirani ni tatizo.
Leo naona barakoa kwenye matukio ya kitaifa. Ni walewale waliokatazwa leo wanavaa tena kwa uhuru na kutoa ufafanuzi kwa nini barakoa (mwanangu alikuwa akisema basikora).
Najiuliza, mfano mwendazake ndio angekuwa kamaliza muda wake halafu kaingia mama. Angefanya haya tuyaonayo ilhali mstaafu anaona?
Unafikili mwendazake angekubali kusitaafuNajiuliza hili swali hadi nachoka. Kwa mapinduzi yanayoendelea leo kupitis awamu ya sita iliwezekanaje? Ni utii wa aina gani watu hujengewa? Au ni uoga wa aina gani watu hupandikizwa? Au ni heshima? Leo hii Rais aliye madarakani anasema ni mpumbavu pekee asiye ns akili kufikiria uhusiano na nchi jirani ni tatizo.
Leo naona barakoa kwenye matukio ya kitaifa. Ni walewale waliokatazwa leo wanavaa tena kwa uhuru na kutoa ufafanuzi kwa nini barakoa (mwanangu alikuwa akisema basikora).
Najiuliza, mfano mwendazake ndio angekuwa kamaliza muda wake halafu kaingia mama. Angefanya haya tuyaonayo ilhali mstaafu anaona?
Inawezekana kabisa tuna corona ila haituathiri. Inawaathiri wenye vinasaba vingine. Sasa kwa kuwa sisi sio kisiwa, na kwa kuwa sisi ni carrer, na kwa kuwa tunavibeba na kuwaambukiza wengine, ni heri tukachukua tahadhari mapema hili janga likadhibitiwa ili isije kutumika nguvu baadaye dhidi yetu tukaanza kulalamakodi haitakusanywa kuwaogopa wafanyabiashara, pesa itatoka wapi? itatoka kwenye mikopo, je massharti ya mikopo yakoje? ndio barakoa nakadhalika