Hivi mtu kama huyu utamwelewaje?

Hivi mtu kama huyu utamwelewaje?

Sharo hiphop

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
660
Reaction score
104
Kuna jamaa ambaye sisi masela wenzie huwa anatumania kweli, akianza kukutania hadi unatamani utoe machozi, lakini cha ajabu ukimtania yeye atakushikia marungu, mawe, nk, sasa 2mwelewe vp wana jf?
 
ahh kes sasa jf itasaidiaje?
ni kiasi cha kukaa nae kikao wewe na washkaj wengne ambao wanamjua na kumpa fact like usitanie watu km wewe upend /auwez utani.
 
ahh kes sasa jf itasaidiaje?
ni kiasi cha kukaa nae kikao wewe na washkaj wengne ambao wanamjua na kumpa fact like usitanie watu km wewe upend /auwez utani.

afu ninuniane nae? Coz kusema nikalishe kikao kwake anachkulia ni kupoteza muda.
 
Back
Top Bottom