Hivi mtu huyu utamfanya nini?

Hivi mtu huyu utamfanya nini?

Bailly5

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
16,553
Reaction score
35,424
Habari wana JF!

Upo kwenye basi mmejazana, kwa bahati mbaya umemkanyaga mtu, unamuomba msamaha ila yeye hakuelewi anaanza kukutolea maneno ya ajabu. Hivi utafanya nini?
 
Kuomba radhi inatosha hakuna jingine la kufanya.Ukweli ni kwamba watanzania
wengi si waungwana, wanapenda sana bifu. Hali uliyoeleza imeshanitokea mara nyingi
na unapomtaka mtu radhi anakukodolea macho kama vile umemfanyia makusudi.
 
Sometimes respect fools to avoid noises
 
Kuomba radhi inatosha hakuna jingine la kufanya.Ukweli ni kwamba watanzania
wengi si waungwana, wanapenda sana bifu. Hali uliyoeleza imeshanitokea mara nyingi
na unapomtaka mtu radhi anakukodolea macho kama vile umemfanyia makusudi.

ni kweli mkuu, ila kuna watu wana matatizo sana
 
Mmoja tuligongana mabega kwenye korido ya jengo.Nilipomwoma radhi akanisonya! Nilijiona mpumbavu sana kwa kuomwomba radhi.
 
umejishusha bado anaona hufai, unaweza piga mtu bure
 
Hapo ni kumuomba msamaha asiponielewa naondoka zangu.
Heshima si mzigo.
 
Unakaa kimya tu. Yeye amalize maneno yake....
 
Mimi ntamwambia nyamaza unarusha sana mate(mvua)
 
Kuna jamaa ashawahi kupoteza uhai kwa kumkanyaga bahati mbaya kibabu ndani ya daladala...

Omba msamaha na wewe lakini haikusaidia, mwisho wa siku babu akaishia kusema tu "utaona wewe kijana..."
 
huyo mzee ni balaa
 
Back
Top Bottom