Hivi mtu anazinduaje Mbuga?

Mmmmmh labda kwako, tembeeni mjionee dunia inavyoenda
Nyerere - Mwinyi- Mkapa - Kikwete is my reference, au labda mwenzetu ulihudhulia uzinduzi wa mbuga, to my notice Kikwete alihusika kuanzisha Saadani nk likewise Mkapa bila kumuongelea Mwalimu sijawahi kuwaona wanazindua.

Au mwenzetu uko makini zaidi uliwaona wakizindua, I think they weren't attention seekers!!
 
Serengeti ilizinduliwa lini?

Ova
 
Nimecheka sana hapo kwenye nyekundu 😂 😂.
 
Magufuli kuzindua ile mbuga ni njia moja wapo ya kuipromote ile mbuga, nenda kaangalie tangia walivyo tangaza kuizindua ni watalii wangapi wamesha enda kutembelea ile mbuga?

Halafu kama siyo kuitangaza kuwa Rais anaenda kuizindua wala nisingejua kama kuna mbuga inayo itwa Burigi... Ilitumika mbinu kidogo tu kuwavutia watalii....

Hii njia aliyo itumia rais natamani angepanda Mlima Kilimanjaro na vivutio vingine vya kitalii ili watalii wamiminike nchi
 
Aisee!!! Kama mawazo ya kijinga kama hayo ndiyo vijana tunawaza bora muendelee kutekwa na musionekane tena, yaani unashindwa kujiongeza mkuu???

Sasa hivi kuna ushindani mkubwa sana kwenye sector ya utalii duniani kila nchi inatafuta mbinu zake kuwavutia watalii, Magufuli kuzindua ile mbuga ni njia mojawapo ya kuitangaza ile mbuga....
 
Hapana, lakini kama tunaweza kuzindua kisima cha maji au mkoa, kwa nini sio mbuga.


Nilishiriki uzinduzi wa mkoa wa Katavi mimi mwenyewe kabisa niliona kila kitu mpaka mwisho hapa

 
Mleta mada vipi hukuona wale twiga waalikwa waliosafirishwa toka Serengeti?ila nimeshangaa tu kwenye utambulisho miongoni mwa wageni waalikwa hawakutambulishwa.
 
"Tumekabidhi nchi kwa washamba"-Zitto Zuberi Kabwe.
 
Ewaaaa wewe umejua kufaulu vizuri kabisa

Yaani lengo pale ni kana kwamba publicity iwapo mle uzinduzini sababu hapa tayari tushajua moja mbili tatu kuhusu hii mbuga tayari
 
Watalii wanatafutwa kwa kupitia TBC, Wewe ndio mjinga zaidi ya wooteee! Au watalii wa ndani? Wewe kichekesho kweli kweli! Ndio maana hatuendelei kama watu design yako wakiwa viongozi na charisma 0%
 
Kwa hiyo leo wanyama watakula na kusaza ....

Kama namwona bwana fisi vile ...

Ila nimeongea na bwana simba , kaniambia leo wengi wameamua kugoma , labda vinyama vioga vikina swala ndo vitaenda !
 
Mlima Kilimanjaro ni wa kuhamisha, Haupo sehemu sahihi kijiografia hata kiutawala.
 
Ficha ujinga wako
 
Sawa sisi watoto hatujui hebu tuambie Mbuga ya Serengeti ilizinduliwa lini na nani aliizindua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…