Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,277
Natatizwa mno na utimamu wa akili wa ndugu zetu wanaoongoza serikali ya Awamu ya 5...
Baada ya vituko lukuki na matukio ya hovyo sasa wameamua eti kwenda "kuzindua" mbuga ya wanyama - hivi mtu anazinduaje mbuga? Kwanini hao wanyama hawakupajua hapo kabla?
And by the way, wanyama wamealikwa?
Kama wanyama hawajaalikwa na hawatashiriki ndo hapo tujiulize kati ya walengwa ambao ni wanyama na wazinduaji nani ana akili...na nani ni zero brain, mxieeew!