Hivi mtanzania anayeishi Marekani, Ujerumani au Uingereza anajua shida za masela wa Pandachigiza?

Eti pandachigiza,, save the date mkuu 26,,uone vionjo mubarabara.waswahili husema usimzarau dobi kaniki ndo rangi yake
 
Pandachigiza ni moja ya kata iliyopo shinyanga vijijini ambayo hata ukigoogle unaweza usiipate !
Hivi tukitumia frontal lobes za brain zetu ...mtu anayeishi los angels au edinburgh au philadelphia au munich anaweza kujua updates za changamoto zinazowakabili wasiojulikana wanaoishi kata ya Pandachigiza na vijiji vyake?

Hivi hawa matapeli na wachumia tumbo wanajua hata ni watoto wachanga wangapi hufariki huko Pandachigiza?

Hebu watanzania tuachage mizaha na tutumie wakati wetu vizuri ili tujikwamue na effects za kuwa nyuma ya wakati.

Tuachane na midomo ya kimbea ya watoto wa kishua ambao hawajawahi kung'atwa na mbu au kuathirika na maji yanayowasha ya mashamba ya mpunga.

Tujitahidi kuwa busy kujikwamua katika umasikini na tutumie elimu zetu kwa wale tuliobahatika kutoboa ili tuwasaidie walalahoi wanaoishi ibinzamata au lokisale.

Muheshimiwa Rais unalindwa na katiba katika kuwanyoosha vilivyo wanaotaka kutuondoa kwenye mada ya msingi ya kuhakikisha masikini wa kutupwa wanafanikiwa kimaisha baada ya miaka mingi ya kuteseka.

Mheshimiwa Rais una haki ya kikatiba ya kumfanyia lolote kwa yoyote bila kujali kelele za mafisadi wachache ambao wanataka kukwamisha zeal ya kuuletea umma masikini wa watanzania maendeleo.

TUACHE VICHEKESHO NA TUWE SERIOUS ...NA PIA TUTAMBUE NYAKATI ZIMEBADILIKA...TUPO KWENYE ERA YA BUSINESS UNUSUAL!

Tutake au tusitake ni lazima tunyookee njia moja tu... yaani njia nzuri na iliyokubaliwa na watanzania ....kwa gharama yoyote ile!!
Hoja nzuri ila sahihisha neno Pandachigiza liwe " Pandagichiza".
 
Nchi yenye watu wa mihemko hii watu hawajisomi wanataka rais wa type gani wenyewe kila mauaji wanasadiki yamefanywa na serikali tawala andamaneni tuonje kuvuja kwa damu na tuongeze vilema mtaani
 
Ni jukumu la Serikali hiyo hiyo yenye mabadiliko makubwa kuzitatua kwa kuwa watanzania ndio walioamua kuipa fursa ya kufanya hivyo.
Sio watanzania bhana, ni tume ndio huwa inawapa! Mpaka watu kama nyie muelimime ndo hi nchi itaendelea!
 
sasa amekuletea nini huko pangachingiza maana rais mwenyewe anapita hapohapo pangachingiza anapoenda chato kukagua uwanja wake pale chato.
 
Pandagichiza ni moja ya kata iliyopo shinyanga vijijini ambayo hata ukigoogle unaweza usiipate !
Hivi tukitumia frontal lobes za brain zetu ...mtu anayeishi los angels au edinburgh au philadelphia au munich anaweza kujua updates za changamoto zinazowakabili wasiojulikana wanaoishi kata ya Pandagichiza na vijiji vyake?

Hivi hawa matapeli na wachumia tumbo wanajua hata ni watoto wachanga wangapi hufariki huko [HASHTAG]#Pandagichiza[/HASHTAG]?

Hebu watanzania tuachage mizaha na tutumie wakati wetu vizuri ili tujikwamue na effects za kuwa nyuma ya wakati.

Tuachane na midomo ya kimbea ya watoto wa kishua ambao hawajawahi kung'atwa na mbu au kuathirika na maji yanayowasha ya mashamba ya mpunga.

Tujitahidi kuwa busy kujikwamua katika umasikini na tutumie elimu zetu kwa wale tuliobahatika kutoboa ili tuwasaidie walalahoi wanaoishi ibinzamata au lokisale.

Muheshimiwa Rais unalindwa na katiba katika kuwanyoosha vilivyo wanaotaka kutuondoa kwenye mada ya msingi ya kuhakikisha masikini wa kutupwa wanafanikiwa kimaisha baada ya miaka mingi ya kuteseka.

Mheshimiwa Rais una haki ya kikatiba ya kumfanyia lolote kwa yoyote bila kujali kelele za mafisadi wachache ambao wanataka kukwamisha zeal ya kuuletea umma masikini wa watanzania maendeleo.

TUACHE VICHEKESHO NA TUWE SERIOUS ...NA PIA TUTAMBUE NYAKATI ZIMEBADILIKA...TUPO KWENYE ERA YA BUSINESS UNUSUAL!

Tutake au tusitake ni lazima tunyookee njia moja tu... yaani njia nzuri na iliyokubaliwa na watanzania ....kwa gharama yoyote ile!!

Kwani wewe ya huko wanapoishi umeyajuaje? Umewauliza kama hawajui?
 
Watanzania anaoishi nje na bado ukayafutilia mambo yanayotokea katika nchi yako pendwa huo ni uzalendo
 
Pandagichiza ni moja ya kata iliyopo shinyanga vijijini ambayo hata ukigoogle unaweza usiipate !
Hivi tukitumia frontal lobes za brain zetu ...mtu anayeishi los angels au edinburgh au philadelphia au munich anaweza kujua updates za changamoto zinazowakabili wasiojulikana wanaoishi kata ya Pandagichiza na vijiji vyake?

Hivi hawa matapeli na wachumia tumbo wanajua hata ni watoto wachanga wangapi hufariki huko [HASHTAG]#Pandagichiza[/HASHTAG]?

Hebu watanzania tuachage mizaha na tutumie wakati wetu vizuri ili tujikwamue na effects za kuwa nyuma ya wakati.

Tuachane na midomo ya kimbea ya watoto wa kishua ambao hawajawahi kung'atwa na mbu au kuathirika na maji yanayowasha ya mashamba ya mpunga.

Tujitahidi kuwa busy kujikwamua katika umasikini na tutumie elimu zetu kwa wale tuliobahatika kutoboa ili tuwasaidie walalahoi wanaoishi ibinzamata au lokisale.

Muheshimiwa Rais unalindwa na katiba katika kuwanyoosha vilivyo wanaotaka kutuondoa kwenye mada ya msingi ya kuhakikisha masikini wa kutupwa wanafanikiwa kimaisha baada ya miaka mingi ya kuteseka.

Mheshimiwa Rais una haki ya kikatiba ya kumfanyia lolote kwa yoyote bila kujali kelele za mafisadi wachache ambao wanataka kukwamisha zeal ya kuuletea umma masikini wa watanzania maendeleo.

TUACHE VICHEKESHO NA TUWE SERIOUS ...NA PIA TUTAMBUE NYAKATI ZIMEBADILIKA...TUPO KWENYE ERA YA BUSINESS UNUSUAL!

Tutake au tusitake ni lazima tunyookee njia moja tu... yaani njia nzuri na iliyokubaliwa na watanzania ....kwa gharama yoyote ile!!
Rubbish!
 
92% ya watanzania ni tegemezi, nani kasababisha madhila yote haya kama sio siasa za kufikirika za kijamaa? na sasa juhudi kubwa zinafanyika ili kuturudisha huko, eti wote tufanane kwa umasikini. Hamasisheni watu waupende utajiri, na acheni kuanzisha kodi za kukatisha tamaa na kufanya watu wasithubutu kuanzisha shughuli za kujitegemea.
 
Back
Top Bottom