Uchumi wa Tanzania na Siasa za Ajira, Huu uchumi unashikiliwa na Wahindi au Waswahili ?

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Wanabodi, Nakubaliana na usemi usemeo uwezo wa kufikiri wa Raia wa Tanzania ni mdogo sana yaani intelligent quotient au wengine huiita ( I Q ).Hata kuna muda mimi baadhi ya watu huwa nawaita wamethibitishwa na taaluma maalumu yaani "CERTIFIED"

Ingawa wengine huwezi kuwabadili hata kuwabadili mawazo bado akili zao zinaendeshwa na matukio na hupenda kujadili yanayowafurahisha huwa tunawaita " CERTIFIED IDIOT "

Back to the Topic
Uchumi wa Tanzania kwa miaka mingi umeendeshwa na watu wa Asia huko yaani India, Na hii inatokana na historia ya jamii hapa duniani, Maeneo mengi barani Africa wahindi ni watu wanaoishi katikati ya mji kabisa yaani "Central business District "na hujihusisha na biashara ya Import ( kuingiza bidhaa toka nje) na Export ( kupeleka bidhaa zetu nje hasa mazao kwa Tanzania)

Je ? Wameajiri watu wangapi na hizi hotel kubwa au Hivi viwanda Vikubwa vinamilikiwa na nani ? Na wataalamu wa kuviendesha wenzetu wnawatoa wapi, Wengi hao wataalamu wanawaomba kwenye viwanda vya ndugu zao India

Tupingane kwa hoja lakini sio kwa kutumia taaluma maalumu yaani Certified Idiot

Kuna muda nafikiri bora kile cheti changu cha taaluma maalumu nikirudishe london, Maana wengi tulithibitishwa Kama Idiot

Yanayotokea yatamaliza ajira za wengi sana baada ya wahusika kuondoka, Watanzania hata wakipewa mtaji hawana tabia ya biashara kubwa kubwa, Wamezoea biashara za ulanguzi
 
Wanabodi, Nakubaliana na usemi usemeo uwezo wa kufikiri wa Raia wa Tanzania ni mdogo sana yaani intelligent quotient au wengine huiita ( I Q ).Hata kuna muda mimi baadhi ya watu huwa nawaita wamethibitishwa na taaluma maalumu yaani "CERTIFIED"

Ingawa wengine huwezi kuwabadili hata kuwabadili mawazo bado akili zao zinaendeshwa na matukio na hupenda kujadili yanayowafurahisha huwa tunawaita " CERTIFIED IDIOT "

Back to the Topic
Uchumi wa Tanzania kwa miaka mingi umeendeshwa na watu wa Asia huko yaani India, Na hii inatokana na historia ya jamii hapa duniani, Maeneo mengi barani Africa wahindi ni watu wanaoishi katikati ya mji kabisa yaani "Central business District "na hujihusisha na biashara ya Import ( kuingiza bidhaa toka nje) na Export ( kupeleka bidhaa zetu nje hasa mazao kwa Tanzania)

Je ? Wameajiri watu wangapi na hizi hotel kubwa au Hivi viwanda Vikubwa vinamilikiwa na nani ? Na wataalamu wa kuviendesha wenzetu wanawatoa wapi ?

Ukiwa na uelewa mdogo Kama Mimi au umesoma biashara pale chuo cha kitapele Udsm au Mzumbe ni ngumu kuelewa kabisa ?

Kikubwa Biashara nyingi Tanzania zinamilikiwa na wahindi

Kuondoka kwao tutegemee yafuatayo

Ajira zitapotea kabisa, sekta binafsi ndio kwaheri, kwa wale wa serikali watafurahi mwanzoni, Lakini pale kodi ikiwa haipatikani wajiandae kupunguzwa kazi yaani redundance

Kuna mambo tuyafurahie lakini mzigo wa wategemezi unaongezeka sana, Kinachofuata ni kinafurahisha

Wengi watafunga biashara kwa kuogopa, Tegemea walimu na watu wengine wahasibu wa serikali kupunguzwa kazi
 
Wanabodi, Nakubaliana na usemi usemeo uwezo wa kufikiri wa Raia wa Tanzania ni mdogo sana yaani intelligent quotient au wengine huiita ( I Q ).Hata kuna muda mimi baadhi ya watu huwa nawaita wamethibitishwa na taaluma maalumu yaani "CERTIFIED"

Ingawa wengine huwezi kuwabadili hata kuwabadili mawazo bado akili zao zinaendeshwa na matukio na hupenda kujadili yanayowafurahisha huwa tunawaita " CERTIFIED IDIOT "

Back to the Topic
Uchumi wa Tanzania kwa miaka mingi umeendeshwa na watu wa Asia huko yaani India, Na hii inatokana na historia ya jamii hapa duniani, Maeneo mengi barani Africa wahindi ni watu wanaoishi katikati ya mji kabisa yaani "Central business District "na hujihusisha na biashara ya Import ( kuingiza bidhaa toka nje) na Export ( kupeleka bidhaa zetu nje hasa mazao kwa Tanzania)

Je ? Wameajiri watu wangapi na hizi hotel kubwa au Hivi viwanda Vikubwa vinamilikiwa na nani ? Na wataalamu wa kuviendesha wenzetu wanawatoa wapi
 
kichwa maji Mogabe baada ya kukurupuka juu ya wawekezaji uchumi wa Zimbabwe ulikuwa zooofu l hali hadi mishahara kukosekana na hatimae hata makada wa ZANU walimchoka Robert..
Leo Mnangagwa amerudi kuwapigia magoti makaburu maana mashamba ambayo wazimbabwe walipewa yameota migunga..
Juzi Seth
jana Manji
leo Mo
kesho Bakhresa
maamuzi yetu yasiongozwe na chuki kama WanaRSA bali facts zitokanazo na tafiti za maendeleo
 
Wengi wanaoshangilia ni wale wanaotegemea mshahara wa serikali, Wanasubiri wakistaafu ndio wajifunze biashara

Soon wataisoma namba maana kodi za kuwalipa mwisho wa mwezi zitaenda kufanya mambo mengine

Kumbukeni Redundance ya kipindi kile NBC disintergration na ubinafshaji wengi walikosa ajira na kazi
 
Waafrika sisi ni kugombea madaraka kwa hila na kufitiniana ndio tunachoweza.
 
Back
Top Bottom