Hivi mtanzania anayeishi Marekani, Ujerumani au Uingereza anajua shida za masela wa Pandachigiza?

Pandachigiza ni moja ya kata iliyopo shinyanga vijijini ambayo hata ukigoogle unaweza usiipate !
Hivi tukitumia frontal lobes za brain zetu ...mtu anayeishi los angels au edinburgh au philadelphia au munich anaweza kujua updates za changamoto zinazowakabili wasiojulikana wanaoishi kata ya Pandachigiza na vijiji vyake?

Hebu watanzania tuachage mizaha na tutumie wakati wetu vizuri ili tujikwamue na effects za kuwa nyuma ya wakati.

Tuachane na midomo ya kimbea ya watoto wa kishua ambao hawajawahi kung'atwa na mbu au kuathirika na maji yanayowasha ya mashamba ya mpunga.

Tujitahidi kuwa busy kujikwamua katika umasikini na tutumie elimu zetu kwa wale tuliobahatika kutoboa ili tuwasaidie walalahoi wanaoishi ibinzamata au lokisale.

Muheshimiwa Rais unalindwa na katiba katika kuwanyoosha vilivyo wanaotaka kutuondoa kwenye mada ya msingi ya kuhakikisha masikini wa kutupwa wanafanikiwa kimaisha baada ya miaka mingi ya kuteseka.

Mheshimiwa Rais una haki ya kikatiba ya kumfanyia lolote kwa yoyote bila kujali kelele za mafisadi wachache ambao wanataka kukwamisha zeal ya kuuletea umma masikini wa watanzania maendeleo.

TUACHE VICHEKESHO NA TUWE SERIOUS ...NA PIA TUTAMBUE NYAKATI ZIMEBADILIKA...TUPO KWENYE ERA YA BUSINESS UNUSUAL!

Tutake au tusitake ni lazima tunyookee njia moja tu... yaani njia nzuri na iliyokubaliwa na watanzania ....kwa gharama yoyote ile!!
Safi sana.
 
Siwezi jivuni umasikini wa watanzania...nataka tuongelee na kuwa na concern ya watu hawa ...as intellectual watu hawa ndio wente uhitaji wa intervention yetu.
Ungwkuwa uko concerned na maisha ya watanzania ungekemea kurudia uchaguzi kwasababu za kipuuzi na kijinga kabisa.

Mnavaa suti na tai lakini mentally mko so primitive!
 
Watu wako serious nyie mnaleta utani, haya kama unajua kijerumani kazi kwako.
FB_IMG_1519849418628.jpg
 
Pandachigiza ni moja ya kata iliyopo shinyanga vijijini ambayo hata ukigoogle unaweza usiipate !
Hivi tukitumia frontal lobes za brain zetu ...mtu anayeishi los angels au edinburgh au philadelphia au munich anaweza kujua updates za changamoto zinazowakabili wasiojulikana wanaoishi kata ya Pandachigiza na vijiji vyake?

Hebu watanzania tuachage mizaha na tutumie wakati wetu vizuri ili tujikwamue na effects za kuwa nyuma ya wakati.

Tuachane na midomo ya kimbea ya watoto wa kishua ambao hawajawahi kung'atwa na mbu au kuathirika na maji yanayowasha ya mashamba ya mpunga.

Tujitahidi kuwa busy kujikwamua katika umasikini na tutumie elimu zetu kwa wale tuliobahatika kutoboa ili tuwasaidie walalahoi wanaoishi ibinzamata au lokisale.

Muheshimiwa Rais unalindwa na katiba katika kuwanyoosha vilivyo wanaotaka kutuondoa kwenye mada ya msingi ya kuhakikisha masikini wa kutupwa wanafanikiwa kimaisha baada ya miaka mingi ya kuteseka.

Mheshimiwa Rais una haki ya kikatiba ya kumfanyia lolote kwa yoyote bila kujali kelele za mafisadi wachache ambao wanataka kukwamisha zeal ya kuuletea umma masikini wa watanzania maendeleo.

TUACHE VICHEKESHO NA TUWE SERIOUS ...NA PIA TUTAMBUE NYAKATI ZIMEBADILIKA...TUPO KWENYE ERA YA BUSINESS UNUSUAL!

Tutake au tusitake ni lazima tunyookee njia moja tu... yaani njia nzuri na iliyokubaliwa na watanzania ....kwa gharama yoyote ile!!
Musiba junior on fleek
 
Hivi mtu anayekaa Magogoni kwenye kiyoyozi anajua shida za Pandachigiza?
ni swali muhimu sana ambayo mtu wa Magogoni anatakiwa kuyaongelea au kukumbushwa kuyaongelea na sio porojo nyingine za watoto wa kishua.
 
Pandachigiza ni moja ya kata iliyopo shinyanga vijijini ambayo hata ukigoogle unaweza usiipate !
Hivi tukitumia frontal lobes za brain zetu ...mtu anayeishi los angels au edinburgh au philadelphia au munich anaweza kujua updates za changamoto zinazowakabili wasiojulikana wanaoishi kata ya Pandachigiza na vijiji vyake?

Hivi hawa matapeli na wachumia tumbo wanajua hata ni watoto wachanga wangapi hufariki huko Pandachigiza?

Hebu watanzania tuachage mizaha na tutumie wakati wetu vizuri ili tujikwamue na effects za kuwa nyuma ya wakati.

Tuachane na midomo ya kimbea ya watoto wa kishua ambao hawajawahi kung'atwa na mbu au kuathirika na maji yanayowasha ya mashamba ya mpunga.

Tujitahidi kuwa busy kujikwamua katika umasikini na tutumie elimu zetu kwa wale tuliobahatika kutoboa ili tuwasaidie walalahoi wanaoishi ibinzamata au lokisale.

Muheshimiwa Rais unalindwa na katiba katika kuwanyoosha vilivyo wanaotaka kutuondoa kwenye mada ya msingi ya kuhakikisha masikini wa kutupwa wanafanikiwa kimaisha baada ya miaka mingi ya kuteseka.

Mheshimiwa Rais una haki ya kikatiba ya kumfanyia lolote kwa yoyote bila kujali kelele za mafisadi wachache ambao wanataka kukwamisha zeal ya kuuletea umma masikini wa watanzania maendeleo.

TUACHE VICHEKESHO NA TUWE SERIOUS ...NA PIA TUTAMBUE NYAKATI ZIMEBADILIKA...TUPO KWENYE ERA YA BUSINESS UNUSUAL!

Tutake au tusitake ni lazima tunyookee njia moja tu... yaani njia nzuri na iliyokubaliwa na watanzania ....kwa gharama yoyote ile!!
Wewe kweli unatoka huko Shinganga. Maana hata mtu wenu wa Magogoni anawatetea mvunje sheria za nchi, msibomolewe wala msisemwe.
 
Ungwkuwa uko concerned na maisha ya watanzania ungekemea kurudia uchaguzi kwasababu za kipuuzi na kijinga kabisa.

Mnavaa suti na tai lakini mentally mko so primitive!
kama mna concern na shida za wananchi mngeongelea [HASHTAG]#Pandachigiza[/HASHTAG]
 
LUMUMBA street katika ubora wenu
Wazee wa buku 7 kwa siku
Mambo ni
 
Tuachane na midomo ya kimbea ya watoto wa kishua ambao hawajawahi kung'atwa na mbu au kuathirika na maji yanayowasha ya mashamba ya mpunga.

Tujitahidi kuwa busy kujikwamua katika umasikini na tutumie elimu zetu kwa wale tuliobahatika kutoboa ili tuwasaidie walalahoi wanaoishi ibinzamata au lokisale.
ninachojua wengi wanaandika lakini wachache wako tayari kukamilisha hilo kusudi.
imekuwa ni kawaida kuwaelekeza wasioelewa ambao wanachukua mambo bila kupima kufikisha kusudio na malengo ya wengine.
awamu iliyopita watanzania walisema ni dhaifu na hii nchi tunahitaji tupate rais dicteta ili atunyooshe natamani zile nyuzi zingerudi tena na kila mtu aangalie aliandika nini.
sasa huyu jamaa kaja kakaza kidogo kelele kila kona sasa mnataka nini mwisho wa siku mmemzushia hana mpango wa kuondoka madarakani.
sikatai ni kweli kuna mambo hayaendi sawa lakini si kiasi cha kuwashawishi watu waamini kuwa wanaumizwa kiasi cha kutisha namna hiyo na kinachofaa ni kumwondoa rais.
haya fanyeni na karibuni na nafikiri kwa mazingira haya serikali isitishe kujenga barabara na reli wajenge hospitali za rufaa pamoja na magereza kwakuwa hazitatosha wakati mtakapokuwa mnagombania hayo majengo ya serikali kwa vurugu zitakazotokea.
 
Anazijua ndio sasa sialikua Mtanzania anaeishi Pandachigiza akaenda US akawa mtanzania anaeishi US
 
Pandachigiza ni moja ya kata iliyopo shinyanga vijijini ambayo hata ukigoogle unaweza usiipate !
Hivi tukitumia frontal lobes za brain zetu ...mtu anayeishi los angels au edinburgh au philadelphia au munich anaweza kujua updates za changamoto zinazowakabili wasiojulikana wanaoishi kata ya Pandachigiza na vijiji vyake?

Hivi hawa matapeli na wachumia tumbo wanajua hata ni watoto wachanga wangapi hufariki huko Pandachigiza?

Hebu watanzania tuachage mizaha na tutumie wakati wetu vizuri ili tujikwamue na effects za kuwa nyuma ya wakati.

Tuachane na midomo ya kimbea ya watoto wa kishua ambao hawajawahi kung'atwa na mbu au kuathirika na maji yanayowasha ya mashamba ya mpunga.

Tujitahidi kuwa busy kujikwamua katika umasikini na tutumie elimu zetu kwa wale tuliobahatika kutoboa ili tuwasaidie walalahoi wanaoishi ibinzamata au lokisale.

Muheshimiwa Rais unalindwa na katiba katika kuwanyoosha vilivyo wanaotaka kutuondoa kwenye mada ya msingi ya kuhakikisha masikini wa kutupwa wanafanikiwa kimaisha baada ya miaka mingi ya kuteseka.

Mheshimiwa Rais una haki ya kikatiba ya kumfanyia lolote kwa yoyote bila kujali kelele za mafisadi wachache ambao wanataka kukwamisha zeal ya kuuletea umma masikini wa watanzania maendeleo.

TUACHE VICHEKESHO NA TUWE SERIOUS ...NA PIA TUTAMBUE NYAKATI ZIMEBADILIKA...TUPO KWENYE ERA YA BUSINESS UNUSUAL!

Tutake au tusitake ni lazima tunyookee njia moja tu... yaani njia nzuri na iliyokubaliwa na watanzania ....kwa gharama yoyote ile!!
Wewe kila siku mada zako ni za kijinga tu mtanzania anaeishi nje ni mwelewa kuliko ww mjinga kama jina lako. Mtanzania anaeishi nje anajua shida za Kolomije kuliko Bashite. Mtanzania anaeishi nje anayo huruma na mtanzania mwenzie kuliko ww mjinga unaefuraia mtanzania mwenzio kukatwa mapanga kwa vile unahongwa ili upate choo. Mjinga fuatilia vizuri kuhusu mtanzania anakaa the ni kiasi gani anachangia au pesa kiasi gani zinazoingia kwa mwaka kwa ajili ya kusaidia ndg zao tz
 
Pandachigiza ni moja ya kata iliyopo shinyanga vijijini ambayo hata ukigoogle unaweza usiipate !
Hivi tukitumia frontal lobes za brain zetu ...mtu anayeishi los angels au edinburgh au philadelphia au munich anaweza kujua updates za changamoto zinazowakabili wasiojulikana wanaoishi kata ya Pandachigiza na vijiji vyake?

Hivi hawa matapeli na wachumia tumbo wanajua hata ni watoto wachanga wangapi hufariki huko Pandachigiza?

Hebu watanzania tuachage mizaha na tutumie wakati wetu vizuri ili tujikwamue na effects za kuwa nyuma ya wakati.

Tuachane na midomo ya kimbea ya watoto wa kishua ambao hawajawahi kung'atwa na mbu au kuathirika na maji yanayowasha ya mashamba ya mpunga.

Tujitahidi kuwa busy kujikwamua katika umasikini na tutumie elimu zetu kwa wale tuliobahatika kutoboa ili tuwasaidie walalahoi wanaoishi ibinzamata au lokisale.

Muheshimiwa Rais unalindwa na katiba katika kuwanyoosha vilivyo wanaotaka kutuondoa kwenye mada ya msingi ya kuhakikisha masikini wa kutupwa wanafanikiwa kimaisha baada ya miaka mingi ya kuteseka.

Mheshimiwa Rais una haki ya kikatiba ya kumfanyia lolote kwa yoyote bila kujali kelele za mafisadi wachache ambao wanataka kukwamisha zeal ya kuuletea umma masikini wa watanzania maendeleo.

TUACHE VICHEKESHO NA TUWE SERIOUS ...NA PIA TUTAMBUE NYAKATI ZIMEBADILIKA...TUPO KWENYE ERA YA BUSINESS UNUSUAL!

Tutake au tusitake ni lazima tunyookee njia moja tu... yaani njia nzuri na iliyokubaliwa na watanzania ....kwa gharama yoyote ile!!
Kuti la mazoea.....
 
Mtoa mada hujaeleweka...... 26/4
 
kama mna concern na shida za wananchi mngeongelea [HASHTAG]#Pandachigiza[/HASHTAG]

Shinyanga hakuna kijiji kinachoitwa PANDACHIGIZA bali kuna kijiji kinaitwa PANDAGICHIZA ni vizuri ukaelezea mambo halisi!
 
Back
Top Bottom