Hivi mtanzania anayeishi Marekani, Ujerumani au Uingereza anajua shida za masela wa Pandachigiza?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Pandagichiza ni moja ya kata iliyopo shinyanga vijijini ambayo hata ukigoogle unaweza usiipate !
Hivi tukitumia frontal lobes za brain zetu ...mtu anayeishi los angels au edinburgh au philadelphia au munich anaweza kujua updates za changamoto zinazowakabili wasiojulikana wanaoishi kata ya Pandagichiza na vijiji vyake?

Hivi hawa matapeli na wachumia tumbo wanajua hata ni watoto wachanga wangapi hufariki huko [HASHTAG]#Pandagichiza[/HASHTAG]?

Hebu watanzania tuachage mizaha na tutumie wakati wetu vizuri ili tujikwamue na effects za kuwa nyuma ya wakati.

Tuachane na midomo ya kimbea ya watoto wa kishua ambao hawajawahi kung'atwa na mbu au kuathirika na maji yanayowasha ya mashamba ya mpunga.

Tujitahidi kuwa busy kujikwamua katika umasikini na tutumie elimu zetu kwa wale tuliobahatika kutoboa ili tuwasaidie walalahoi wanaoishi ibinzamata au lokisale.

Muheshimiwa Rais unalindwa na katiba katika kuwanyoosha vilivyo wanaotaka kutuondoa kwenye mada ya msingi ya kuhakikisha masikini wa kutupwa wanafanikiwa kimaisha baada ya miaka mingi ya kuteseka.

Mheshimiwa Rais una haki ya kikatiba ya kumfanyia lolote kwa yoyote bila kujali kelele za mafisadi wachache ambao wanataka kukwamisha zeal ya kuuletea umma masikini wa watanzania maendeleo.

TUACHE VICHEKESHO NA TUWE SERIOUS ...NA PIA TUTAMBUE NYAKATI ZIMEBADILIKA...TUPO KWENYE ERA YA BUSINESS UNUSUAL!

Tutake au tusitake ni lazima tunyookee njia moja tu... yaani njia nzuri na iliyokubaliwa na watanzania ....kwa gharama yoyote ile!!
 
Pandachigiza ni moja ya kata iliyopo shinyanga vijijini ambayo hata ukigoogle unaweza usiipate !
Hivi tukitumia frontal lobes za brain zetu ...mtu anayeishi los angels au edinburgh au philadelphia au munich anaweza kujua updates za changamoto zinazowakabili wasiojulikana wanaoishi kata ya Pandachigiza na vijiji vyake?

Hebu watanzania tuachage mizaha na tutumie wakati wetu vizuri ili tujikwamue na effects za kuwa nyuma ya wakati.

Tuachane na midomo ya kimbea ya watoto wa kishua ambao hawajawahi kung'atwa na mbu au kuathirika na maji yanayowasha ya mashamba ya mpunga.

Tujitahidi kuwa busy kujikwamua katika umasikini na tutumie elimu zetu kwa wale tuliobahatika kutoboa ili tuwasaidie walalahoi wanaoishi ibinzamata au lokisale.

Muheshimiwa Rais unalindwa na katiba katika kuwanyoosha vilivyo wanaotaka kutuondoa kwenye mada ya msingi ya kuhakikisha masikini wa kutupwa wanafanikiwa kimaisha baada ya miaka mingi ya kuteseka.

Mheshimiwa Rais una haki ya kikatiba ya kumfanyia lolote kwa yoyote bila kujali kelele za mafisadi wachache ambao wanataka kukwamisha zeal ya kuuletea umma masikini wa watanzania maendeleo.

TUACHE VICHEKESHO NA TUWE SERIOUS ...NA PIA TUTAMBUE NYAKATI ZIMEBADILIKA...TUPO KWENYE ERA YA BUSINESS UNUSUAL!

Tutake au tusitake ni lazima tunyookee njia moja tu... yaani njia nzuri na iliyokubaliwa na watanzania ....kwa gharama yoyote ile!!

Ndiyo. Anajua zaidi kukushinda wewe unayeshinda hapo lumumba.
 
Ni jukumu la Serikali hiyo hiyo yenye mabadiliko makubwa kuzitatua kwa kuwa watanzania ndio walioamua kuipa fursa ya kufanya hivyo.

Uwanja wa ushindani hapa nchini ungekuwa sawa ungeweza kusema hili ulilosema likaeleweka.
 
Wakat mnachagua ccm
Mlikua mnategemea nn Kwa
Mfano miaka nenda rud

Mmeikumbatia tu haya ndo
Mvune mlicho panda

Ndo mshapewa traffic light
Kwa ajili ya punda
Hzo ndo kura zenu mlizopga
 
Uwanja wa ushindani upo huru kabisa...tembelea PANDACHIGIZA ukaongelee uhuru wa ushindani![/QUOT

Unajivunia ufahamu mdogo wa mambo wa watu wa huko kujengea hoja zako? Basi hiyo hali ndio watu wenye uelewa wa kutosha wanataka maandamano ya amani ili kupaza sauti na hao wenye ufahamu mdogo wajue nini kinaendelea.
 
Back
Top Bottom