Panga Makalikuwili
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 291
- 432
Tusidanganyane bwana,wote walikuwa wakilala kwenye miji hata kama kesho yake kuna mkutano huku huku porini lakini waliondoka kulala mjini na kesho yake walikudi huku kwetu porini.
Hawakulala mkuu, tena kesho yake kulikuwa na mkutano kijiji cha pili lakini waliondoka mjini kilometa nyingi .wakaja tena kesho yake na ving'ora vyao.Tanzania tuna mapori mengi Hata huko kwenu ni pori huwenda alilala huko kwenu
Tusidanganyane bwana,wote walikuwa wakilala kwenye miji hata kama kesho yake kuna mkutano huku huku porini lakini waliondoka kulala mjini na kesho yake walikudi huku kwetu porini.
Mbona hukuwahi kuhoji kipindi kile!?Tusidanganyane bwana,wote walikuwa wakilala kwenye miji hata kama kesho yake kuna mkutano huku huku porini lakini waliondoka kulala mjini na kesho yake walikudi huku kwetu porini.
Nape?Hii ni tabia ya watoto walionyonya maziwa ya kopo.
umeniwahi mkuu nilitaka kujibu hivyomabwepande