Hivi mpaka sasa Nape ameshasema alilala pori gani kuipigania CCM

Ahahahaa....aisee! Hiyo itakuwa tashbiha akifananisha mikoani na porini!
 
Ndugu moja mnapogombana sisi majirani huwa hatuingilii,paruaneni weeee mpaka mchoke
 
Hata kama anadai alizunguka nchi nzima kukijenga chama, lakini si alilipwa kwa kazi ile aliyoifanya?
Je, alikuwa anatumia fedha za chama au fedha za kwake binafsi?
 
Alafu akumbuke kuwa bado alikuwa anakula fedha zetu za walipa kodi na hata yeye mwenye ameacha wachumba wangapi ktk ujana wake?
 
Back
Top Bottom