Typo ✅Najua, it was a typoo
Baki kwenye hoja acha drama
Why do you think nimegusia shortcut?Hayupo mtu ambaye mambo yake yameenyooka
Kila successful story kuna failure nyingi sana ndani yake.
Pamamba, muombe sana Mungu, shortcut is always a wrong cut
Vipi elfu 30 ya kula ulipata mtu wakukusaidia au bado?Issue ni kuwa unaongeaga shit, tu na unajifanya unajua kumbe ni wale wale tu, wasio na mbele wala nyuma.
Subiri kaje kukubishia na wewe.Hayupo mtu ambaye mambo yake yameenyooka
Kila successful story kuna failure nyingi sana ndani yake.
Pamamba, muombe sana Mungu, shortcut is always a wrong cut
Ndiyo mambo ya kijinga hayo, ndiyo shortcut zenyewe, hakuna nyota wala jua, pambanaWhy do you think nimegusia shortcut?
Hakuna kitu kama shortcut, Nimeongelea kitu kinaitwa nyota, like bahati or something..
Kijinga?Ndiyo mambo ya kijinga hayo, ndiyo shortcut zenyewe, hakuna nyota wala jua, pambana