Hivi mlishamsikiaga akiongea kingereza?

Hivi mlishamsikiaga akiongea kingereza?

Mi sijawahi msikia Bashite akiongea kingereza
Vipi wewe uliwahi msikia?
atajing'ata na kutawanyika hadi utamwonea huruma. bora hata baba yake mwenye phd kidogo anaungaunga lakini wote walewale.
 
Back
Top Bottom