hivi mlikutana wapi?

kwakweli mie nikikumbuka nilipokutana naye napata uchungu sana na kutamani kumuacha ingawa firstman wangu huyu ni wa pekee duniani.ila sinikumbushe mzee................!
 
Nilikuwa nafanya kazi ya customer care kwenye moja ya makampuni ya simu.Akapiga kutaka kusaidiwa problems za cm yake tukaanzia hapo hapo leo tuko na furaha na tuna watoto wa3
 
wana JF unajua two couples always have a long history hadi wanapofikia kuishi pamoja au kuoana,kuanzia kukutana kwao pamoja na mengi wanayopitia,wengine walikutana bar,wengine beach,wengine disco,wengine kwenye daladala,wengine chuoni au shuleni,wengine kazini na wengine kwenye matatizo,yani sehemu ni nyingi siwezi kuzitaja zoe,hebu leo tukumbushane nyie mlikutana wapi?

wewe mlikutana wapi?
 
kwakweli mie nikikumbuka nilipokutana naye napata uchungu sana na kutamani kumuacha ingawa firstman wangu huyu ni wa pekee duniani.ila sinikumbushe mzee................!

wajina wangu kwa nini unatamani kumuacha?
 
mimi nilitangaza hapa hapa na tukakutana hapa hapa lakini bado hatuja onana ila my wife wangu du hata sikumbuki tulikutana wapi maana ....... We acha tu.
 
Bao hatujakutana tukikutana ntajibu kwa ufasaha

Pearl Naomba kukutana na wewe halafu tuseme tulikutana JF:smile-big:
Tumpe Invisibo jukumu la kutufungisha ndoa kwa kutumia sheria za JF...
Washauri wetu wa ndoa awe MwanajamiiOne pamoja na Dark City (ana mawaidha kweli huyu Baba)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom