Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

Invisible vaa nguo tuonane. Sikuoni
Mkuu,kumbe na shule ulipita ndugu?Ila acha nikuambie jambo,asilimia kubwa za mada ambazo zimekuwa zikiulizia mishahara,Mara tu au punde tu mishahara inapokuwa imetoka au imetolewa.Kimya kimya ,hutaona watu humu jamvini.Watakaokuja kureply,ni wale ambao wanakuwa wameshahakikisha kuwa yaliyimo,yamo.HIVYO TUSIDANGANYANE NDUGU ZANGU,UJIRA KWA HAKI.NI SAWA NA UMUHIMU WA MAGADI.PALE AMBAO HUSAIDIA KUIVISHA CHAKULA KIGUMU KINACHOCHELEWA KUIVA.JAMANI,MSICHELEWA KUTUJULISHA.HUKU MVUA BADO ZINANYESHA.TUPO PAMOJA WANANZENGO!
 
Mambo yashaanza kusoma,, naona kuna mdada ametoa pesa, alafu ile card akamrudishia yule jamaa wa nini credit,,

Hahahahah ahahah
 
ila kuna theory kuwa ramadan inaisha in the next two weeks. Hivyo inawezekana wameamua kuvuta siku labda mpaka 26--29 kati ya hizo ili walau ibakie week moja eid. na hivyo Eid ije watu wakiwa bado wana ngawira mfukoni!!
 
Sasa wanawapangia watu matumizi!?!?![emoji134]
 
Ifike kipindi dharau zikae pemben, nani alikwambia ni mwalimu tu mwenye njaa Kali ,hizo imani za kishamba na kiwaki ifike mahali mzitue kabisa ,wengi mmekariri kuwa walimu ndio wenye maisha magumu sana kuliko kada zingine as if watumishi wengine wana mishahara mikubwa kuzid waalimu,pia kufanikiwa kimaisha ni akili ya MTU binafsi kuna watu wanafanya kazi bank na tra lakin wanakopa pesa kwa hao hao walimu ,narudia tena hiyo dhana ya kuwadharau walimu ife kabisa na ikomee jumla ,huyo huyo mwalimu unayemdharau hapa ndie kakufanya ujue hata kutype huo uharo wako

Kuna jamaa zangu ni walimu, ni shida wapo vizuri si mchezo
 
Ukivuta kitu cha Salary Advance leo watakata mwezi huu au ujayo?....
 
Wakati wa kuongelea mambo ambayo ni muhimu sana lazima mtazame na mnachokiongea je, kina maana? Unajua masuala ya mishahara ilishatolewa ufafanuzi na sasa mnachofanya baadhi yenu ni kutia doa na kuchafua tu. Naomba tuwe na nidhamu na viongozi wakubwa wa nchi yetu hata kama tunaanzisha mada lazima tutazame je, ina umuhimu gani? Mishahara pamoja na umuhimu wake ila sio jambo muhimu sana kuchafua watu na kuleta tarehe zenu mnazojipangia wenyewe kama ndio mnaojua siri ya mishahara ya wafanyakazi na utokaji wake. Tuwaachie wanaojua ambao ni viongozi wakubwa kuliko kubwatuka wakati tarehe bado hazijavukwa za kutoa mishahara. Mkumbuke mwezi wa 4 ulikuwa na "PASAKA" na angeamua Raisi kufata taratibu zake tu bila kutazama ubinadamu na umuhimu wa siku hiyo angeamua kutoa Jumanne ambayo ni tarehe 23 ama Jumatano ambayo ni tarehe 24. Pamoja na huruma zake zote na upendo wa hali ya juu sana kwa wananchi na wafanyakazi wake alitoa pesa siku ya Ijumaa kuu na ukumbuke ilikuwa siku ya mapumziko akaamua asipumzike ila atoe pesa. Hapo ndipo utajua Raisi wetu ni mtu mwema sana na anatupenda sana watu wake. Naomba tuwe na heshima na nidhamu kwake na kwa viongozi wengine huenda tukafanikiwa sana. Hata tukiwa tunasema ovyo hatujengi lolote.
Nawasilisha.
Ikiwa nimekukwaza naomba ujirekebishe.
 
Ifike kipindi dharau zikae pemben, nani alikwambia ni mwalimu tu mwenye njaa Kali ,hizo imani za kishamba na kiwaki ifike mahali mzitue kabisa ,wengi mmekariri kuwa walimu ndio wenye maisha magumu sana kuliko kada zingine as if watumishi wengine wana mishahara mikubwa kuzid waalimu,pia kufanikiwa kimaisha ni akili ya MTU binafsi kuna watu wanafanya kazi bank na tra lakin wanakopa pesa kwa hao hao walimu ,narudia tena hiyo dhana ya kuwadharau walimu ife kabisa na ikomee jumla ,huyo huyo mwalimu unayemdharau hapa ndie kakufanya ujue hata kutype huo uharo wako
Mbona umekua mkali bro....
 
Ukivuta kitu cha Salary Advance leo watakata mwezi huu au ujayo?....
Leo kama ni mshahara umetoka, hawakupi...Watakupa kesho yake.

Kama Mshahara haujatoka, ukavuta advance leo...utakatwa ukitoka hata ukiwa jioni ama usiku ama kesho (Utakatwa mwezi huu).
 
Bila shaka wewe ni mwalimu,hebu anzisha hata kilimo cha mboga mboga acha utegemezi wa mshahara.
Dah watu mna dharau aisee .. MWALIMU ndo aliyenfundisha babu yako , bibi yako, mama yako, baba yako..mke wako, watoto wako, wajomba zako, n.k leo unawadharau
 
Wakati wa kuongelea mambo ambayo ni muhimu sana lazima mtazame na mnachokiongea je, kina maana? Unajua masuala ya mishahara ilishatolewa ufafanuzi na sasa mnachofanya baadhi yenu ni kutia doa na kuchafua tu. Naomba tuwe na nidhamu na viongozi wakubwa wa nchi yetu hata kama tunaanzisha mada lazima tutazame je, ina umuhimu gani? Mishahara pamoja na umuhimu wake ila sio jambo muhimu sana kuchafua watu na kuleta tarehe zenu mnazojipangia wenyewe kama ndio mnaojua siri ya mishahara ya wafanyakazi na utokaji wake. Tuwaachie wanaojua ambao ni viongozi wakubwa kuliko kubwatuka wakati tarehe bado hazijavukwa za kutoa mishahara. Mkumbuke mwezi wa 4 ulikuwa na "PASAKA" na angeamua Raisi kufata taratibu zake tu bila kutazama ubinadamu na umuhimu wa siku hiyo angeamua kutoa Jumanne ambayo ni tarehe 23 ama Jumatano ambayo ni tarehe 24. Pamoja na huruma zake zote na upendo wa hali ya juu sana kwa wananchi na wafanyakazi wake alitoa pesa siku ya Ijumaa kuu na ukumbuke ilikuwa siku ya mapumziko akaamua asipumzike ila atoe pesa. Hapo ndipo utajua Raisi wetu ni mtu mwema sana na anatupenda sana watu wake. Naomba tuwe na heshima na nidhamu kwake na kwa viongozi wengine huenda tukafanikiwa sana. Hata tukiwa tunasema ovyo hatujengi lolote.
Nawasilisha.
Ikiwa nimekukwaza naomba ujirekebishe.
Unataka kusemaje mbona unazunguka zunguka....

Nenda straight jamii ikuelewe..

Kwamba tareh bado, nani kadharauliwa au kosa lipo wapi??

Mwenye kukuamini ili ajifunze... Na mwenye kukudharau ili aendelee kukupuuza na kukudharau.

Funguka.
 
Nina uhakika kama sio leo jioni basi kesho kufikia mida kama hii kitaeleweka. Sipati picha foleni lake kwenye ATM. Na NMB walivyo wakuda wakiona mshahara umetoka ATM nyingi hazifanyi kazi, sijui ni kwa nini.
 
Back
Top Bottom