Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,870
- 225,745
Hivi ni kweli alibadili pua?Ukweli ni kuwa yule kijana alikuwa ametafuta ugonjwa wa makusudi alipobadilisha umbile la pua yake iwe kama ya wazungu.
Pua baadae ikawa haifanyi kazi vizuri kupitisha hewa na ikawa ni mateso makubwa pamoja na pesa nyingi alizokuwa nazo.
Kila mara na kila anapokaa alikuwa hajihisi vizuri alikuwa alijishika shika pua yake kama kuipa nguvu apumue vizuri.
Ndio tatizo alilikuja nalo Tanzania.Watu wakaona kama anaoa kinyaa kwa kutua Tanzania.