Hivi Mgao umeanza tena kimyakimya?

Ni wa masaa 12 kwa siku, lengo ni kuwanyima kuona vikao vya bunge, unamaliza wiki sasa. naomba kuwasilisha.
 
Ni wa masaa 12 kwa siku, lengo ni kuwanyima kuona vikao vya bunge, unamaliza wiki sasa. naomba kuwasilisha.

isiwakatishe tamaa!
Tunawapeni jukumu jipya leo, msiruhusu siku yoyote kiwanda cha general tire kupigwa mnada, tumieni kila aina ya mbinu ya kizalendo. Tunawaaminia
 
Wakati huo huo jamaa yupo Ethiopia.
8E9U5117.JPG
 
Si mmsikia mkurugenzi wa tanesco kimenuka labda alikuwa anahujumu arusha.
 
Mbona hata mwanza wanakata,tena kwa speed sana.hauna formula wakati hivi majuzi serikali ilitangaza kwamba hakutakuwa na mgao wa umeme na wala hakuna mpango huo kabisa.
 
subirini tunataka kuwasha mitambo yetu hapa njiro sasa bila kuwaonjesha mgao hata kidogo mnaweza msituelewe.
pigeni kimya msibumburue ishu.
 
Yani mpaka hali ilivyo hapa A town ninafanya mpango nipate uraia wa South Sudan!

Ni vema niwe na uraia wa Nchi 2!
 
Nimesoma magazetini; mgao mkali waja.
Ni miaka minne sasa, kila mwaka kuna mgao wa umeme na kila mwaka Serikali imekuwa ikija na mikakati na ahadi za kuondoa kero hiyo. Mwaka juzi Serikali iliahidi Bungeni hakutakuwa na tatizo hilo tena.
Waziri na Katibu Mkuu Wizara wamebadilishwa, tatizo liko pale pale. Kwa serikali makini, ingejiuzulu. Wakati umefika Wabunge wapige kura ya kutokuwa na imani na serikali ya JK, imeshindwa kutimiza ahadi, imeshindwa kuondoa kero moja tu kwa miaka minne,
 
Inatosha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom