Hivi Mengi ni Team Lowassa?

Mengi ni timu Muhongo, uhakika ninao, msiopenda habari ndio hio
 
unamaanisha kuwa wachungaji ni teamlowasa, mashekhe ni teamlowasa, bodaboda ni teamlowasa, mama ntilie ni teamlowasa mpaka kikwete ni teamlowasa kumuacha mengi.
 
unamaanisha kuwa wachungaji ni teamlowasa, mashekhe ni teamlowasa, bodaboda ni teamlowasa, mama ntilie ni teamlowasa mpaka kikwete ni teamlowasa kumuacha mengi.

Hata yule waziri mkuu wa Thailand ni team lowassa.usisahau mvua za kutengeneza.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
namuombea kwa Mungu aendelee kupambana mpaka mwisho.....wasio mjua na wanaosoma magazeti ta udaku wasiofanya research wanaopenda kusimuliwa bila utafiti wanaopwnda kutafuniwa habari watakuchukia na kusema ni fisaidi lakini watu wenye jicho la tatu wanaofikiri kilometer kumi mbele ya pua wanamjua kama mchapakazi mwenye msimamo thabiti mwenye uthubutu ni jembe ....wanaomchafua kisiasa et mwalimu alimkataa ni wale wazembe wanaopenda kupeleka mambo kwa kuunda tume.. hao wanaogopa mchakamchaka wakolowassa oct 2015maamuzi magumuhakatwi mtu hapa
 
Ni kweli mkuu, na mimi pia ni team profesa, mengi tupo nae
Dhambi ya kumfitinisha Prof Muhongo na watanzania na kumpigia majungu naona imerudi na inamtafuna vibaya mzee wa watu. Na jamii imeshajua mbivu na mbichi ni zipi. Tusubiri uamuzi wa chama chao utakuwaje, wakimpitisha Prof sijui mzee wa watu atakimbilia nchi gani kwa kweli? Kweli malipo duniani hapa hapa.
 
Mropokaji yule awe Rais tangu lini captain wa vikosi vya mzinga akajua kutawala? Akapimwe akili labda kelele za vishindo vya mizinga vimemvuruga! Haki ya Mungu ataturudisha miaka ya sitini akipewa nchi hii! yangu mie macho
 
Vyombo vya Mengi vinamtetea fisadi.
 

Twende na Dr. MAGUFULI Ikulu 2015.
 
Nani kakudanganya, kaeni na lowasa wenu mbovu wa akili na mwili,maana hawezi hata kutoa hotuba ya maana anatetemeka tu.rais wetu ni mzee wa kazi.
Mkuu pole lakini ,Rais ni LOWASA tafadhari jiandae kisaikolojia.
 
Naona ITV wanajitahidi sana kuonesha kuna vurugu
 
ila pia nawajua baadhi ya makada wa CCM, (ukimuondoa Sabodo ambae ameisupport Chadema wazi wazi) wanaoisupport Chadema kwa siri!.

Pasco
BILIONEA SABODO AFARIKI DUNIA..

Bilionea na Mchumi maarufu nchini, Mustafa Jaffer Sabodo amefariki Dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwakwe, Masaki jijini Dar es Salaam.

"Mzee amefariki leo alfajiri akiwa nyumbani. Taratibu za mazishi zinaendelea na atazikwa katika makaburi yaliyoko mtaa wa Bibi Titi Mohamedi karibu na CBE," amesema Danstan.

Marehemu Sabado alizaliwa mkoani Lindi na alikuwa akifanya biashara katika nchi za Ufaransa, India, Kenya, Sudan, Nigeria, Zimbabwe na Tanzania.

Atakumbukwa kwa mchango wake ulioanzisha Mwalimu Nyerere Foundation National Lottery alipotoa msaada wa Sh milioni 800. Alihusika katika utoaji wa misaada kadhaa iliyohusisha kilimo, ujenzi wa visima na kusaidia wenye uhitaji.
Sabodo atazikwa leo saa 4:30 usiku.
Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un.
“We surely belong to Allah and to Him we shall return”
"Sisi sote ni wa Mola, na kwake tutarejea".

Paskali pia anakuaga!.
RIP Jaffar Sabodo.
 P
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…