mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,031
- Thread starter
- #161
Hahaa mito isijekuwa tunafahamiana aisee...huyo dada B mbona kama mimi
Hahaaaa kwani na wewe hunukii mkuu? ila uenda tunafahamiana kweli Khantwe, kwani we upoje upoje? ahaaaaa swali gumu hili, loh!!!
Halafu una bahati, leo nilipanga nikumention pamoja na BADILI TABIA na amu, nilihisi mmekula kona labda hamnukii teh teh teh!!
Last edited by a moderator: