Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Ila Kaboom yuko vizuri sista, endelea naye tu, tena aliniambia ile tabia yake ya kuchangamkia fursa ameacha kabisa siku hizi

Hiyo tabia hawezi kuiacha yule, sasa niendeleeje nae wakati nataka na ladha mpya pia?
 
Last edited by a moderator:
Huyu baba yako hataa simuelewi, mie nilijua mchana anatania kumbe he was serious!!

😱😱😱😱😕😕 sasa mbona kanunua baby care? Mchana alikuwa anawakawaka kama mkrismasi, na nguo zake za maua ua kuanzia juu hadi chini.

Leo mchana kaamua kuniambia mwenyewe, na sijui ndio kaamua kuniroga, maana nashangaa kila nikikaa najikuta tu namuwaza yeye, anitue!

Hapana mchana nilipaka mafuta ya mawese mbona

Khaaaaah!! Ndio maana na nyuki walikuwa wanakuzengea, hela ulipeleka wapi?

Hela nimehifadhi ya birthday partyyyy

Hahahaaaaa nitajitolea gari la RRONDO la kutupeleka kwenye besidei

kuna jukwaa linaitwa CHITCHAT.....linawafaa sana
 
Hahahaaaa! Mie sialikwi ndio muandaa shughuli, si unajua we unazo za darasani tu?? Hutaki lifti wewe?
Teh labda kama unaandaa mihogo party yenu na RRONDO, khaa msije mkanipa kiribatumbo mie. Teh lift ya miguu au? raha kweli kutaja gari
 
Last edited by a moderator:
Teh labda kama unaandaa mihogo party yenu na RRONDO, khaa msije mkanipa kiribatumbo mie. Teh lift ya miguu au? raha kweli kutaja gari

Hahahaaaaaa!! Mie nina magari manne mwenzio(sijui ya mabox) nitajitolea kukubeba besidei gelo na ukoo wako, alafu kumbe hujui utamu wa mihogo wewe!! Subiri utaona kama hujaniambia kila siku nikufuate ukale mihogo.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu anaitwa Paulo Sergio De Souz yuko wapi? Nilisikia ni mumeo Heaven Sent huuuyu kijana huwa napenda michango yake kwenye mada kama hizi ingawa siku hizi amekuwa mlengo wa kushoto mimi kulia.
 
Hapana sijazoea dezo kwa kweli. Bora tu nipande mkokoteni kuliko kitakachonikuta na hiyo lift yenu ya gari la kuchora

Kuna mtu anaitwa Paulo Sergio De Souz yuko wapi? Nilisikia ni mumeo Heaven Sent huuuyu kijana huwa napenda michango yake kwenye mada kama hizi ingawa siku hizi amekuwa mlengo wa kushoto mimi kulia.
Ulisikia wapi kuwa ni mme wangu? Of coz yes, he is my darlin hubby, na wewe ukishaoa utaacha tu huo ubandindu wako. Yupo busy anaenjoy ndoa mwenzio

ma sista du mna shida....ngoja niwahi msondo nikasikilize muziki wa ukweli saa hizi.......
Hahaha sawa brazaman, wasalimie wala mihogo wenzio huo. pitaga na kwa vijana ujiachie na ekotite, itapunguza mgutambi hugo
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh teeeeh!! Hutaki lift tena jamani? Hata la kaka mito?
Eeh sasa la My kaka si Napiga hadi na honi sasa. Ila make sure unanukia usijeshangaa watu wanafungua vioo vya magari yao
 
Last edited by a moderator:
Eeh sasa la My kaka si Napiga hadi na honi sasa. Ila make sure unanukia usijeshangaa watu wanafungua vioo vya magari yao

Kaka alishasema ataniletea losheni,na sijui nini ile nyingine, na Nyani Ngabu ataniletea kitu cha digirii yaani fuul kunukia kikwapa choteee kwishney
 
Last edited by a moderator:
Jf ina mawenge kwangu sometimes..Inanigomea kuquote
atoto Acha jeuri..Uache moyo wako uongee..Mtu hawezi kusahau jinsia yake..
mito we mbona deile unanisumbua pm kuhusu binti yangu mi sisemi..Mambo ya pm yabaki plz
Heaven Sent Atoto kadata kwa chotara wa kinyaki lol..Soon tutaanza kula pesa
 
Teh daddy acha tu wanyaki tuitwe wanyaki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Last edited by a moderator:
Jf ina mawenge kwangu sometimes..Inanigomea kuquote
atoto Acha jeuri..Uache moyo wako uongee..Mtu hawezi kusahau jinsia yake..
mito we mbona deile unanisumbua pm kuhusu binti yangu mi sisemi..Mambo ya pm yabaki plz
Heaven Sent Atoto kadata kwa chotara wa kinyaki lol..Soon tutaanza kula pesa

Sasa hela gani mtakazokula wakati mwaka umeniishia vibaya huu hata sadaka nilikuomba, mito kaka yangu kipenzi kajitolea za sikukuu!! Labda unile damu ila pesa hakuna.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom