Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Hahahaaaaa! Siamini mambo yananigeuka hivi hivi? Sasa mimi nitamuhonga nini jamani? Asinifanyie hivyo!

Alafu na wewe kaka mito usiwe unamtajataja Kaboom kwenye post zako, unanifanya namkumbuka wakati nishamsahau.

Hahaaa kumbe hujajua sista, ujue Kaboom bana ananisumbua sana PM, ananibembeleza nimpigie debe kwako mrudiane, anaamini mi nikikwambia eti huchomoi coz unaniheshimu sana, ndo hivyo! eti ni kweli sista?
 
Last edited by a moderator:
Mmh basi umechelewa kunikataza, nshamtumia tangu jana ujue, alinililia eti lotion imemwishia kaishaanza kupauka ngozi nisijemsema bure lotion!! basi bwana si unajua tena damu nzito, ikabidi tu nimrushie fasta kwa halotel, hope leo ananukia, teh teh

cc Heaven Sent
Hahahhahaha nashukuru kwa kunistiri kaka angu. Ila lile dongo la kuniambia "nina akili za darasani tu", nikikumbuka tu nakuta undugu wetu unashake khaaa
 
Last edited by a moderator:
Mmh asinipe mie tena dadake kipenzi weee. Afu my kaka mito kuna sehemu tumekuita wee hata hujafika

Hahaaa basi usijefanya kama nilivyokufanyia jana baada ya kukawia kuja bana!! Ujue bado JF haijatulia kama zamani hasa kwa sisi wa PC, yaani mtu akinimention inaweza isije kabisa hadi kesho yake ndo nazikuta, au zikaja kwa kuchelewa sana. Halikadhalika quotes. Notification nayoipata bila shida ni ya mtu akinigongea Like, tena nawashukuru sana atoto na Heaven Sent mnavotangulizaga Like ndo inafuata quotes, hiyo like ndo inaniongozaga kupata quotes. Otherwise, huwa nafanya try and error kwa nyuzi nilizochangia. So you can imagine ukinimention kwenye uzi mpya navopata shida!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahhahaha nashukuru kwa kunistiri kaka angu. Ila lile dongo la kuniambia "nina akili za darasani tu", nikikumbuka tu nakuta undugu wetu unashake khaaa[/QUOTE]

Hahaaaaa kumbe bado unalikumbuka duuh! aaah undugu usishake tena bana nshasawazisha hilo mbona ,teh teh
 
Aah ni kwenye uzi wa Brenda wa kuolewa kwa kulazimisha. Tumekudiscussije mweee. Poleni aisee wenye PC
 
Last edited by a moderator:
Hahahhahaha nashukuru kwa kunistiri kaka angu. Ila lile dongo la kuniambia "nina akili za darasani tu", nikikumbuka tu nakuta undugu wetu unashake khaaa[/QUOTE]

Hahaaaaa kumbe bado unalikumbuka duuh! aaah undugu usishake tena bana nshasawazisha hilo mbona ,teh teh
Teh kuna muda nasahau afu kuna muda kama nakumbuka vile
 
heheehe "mahaba niuwe, niponde ponde kama nyanya"

Huyu baba yako hataa simuelewi, mie nilijua mchana anatania kumbe he was serious!!

Mmh basi umechelewa kunikataza, nshamtumia tangu jana ujue, alinililia eti lotion imemwishia kaishaanza kupauka ngozi nisijemsema bure lotion!! basi bwana si unajua tena damu nzito, ikabidi tu nimrushie fasta kwa halotel, hope leo ananukia, teh teh

cc Heaven Sent

😱😱😱😱😕😕 sasa mbona kanunua baby care? Mchana alikuwa anawakawaka kama mkrismasi, na nguo zake za maua ua kuanzia juu hadi chini.
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa kumbe hujajua sista, ujue Kaboom bana ananisumbua sana PM, ananibembeleza nimpigie debe kwako mrudiane, anaamini mi nikikwambia eti huchomoi coz unaniheshimu sana, ndo hivyo! eti ni kweli sista?

Leo mchana kaamua kuniambia mwenyewe, na sijui ndio kaamua kuniroga, maana nashangaa kila nikikaa najikuta tu namuwaza yeye, anitue!
 
Last edited by a moderator:
Huyu baba yako hataa simuelewi, mie nilijua mchana anatania kumbe he was serious!!

Mfyuu kwani wewe ulikuwa unatania pale?

😱😱😱😱😕😕 sasa mbona kanunua baby care? Mchana alikuwa anawakawaka kama mkrismasi, na nguo zake za maua ua kuanzia juu hadi chini.
Hapana mchana nilipaka mafuta ya mawese mbona
 
Leo mchana kaamua kuniambia mwenyewe, na sijui ndio kaamua kuniroga, maana nashangaa kila nikikaa najikuta tu namuwaza yeye, anitue!

Ila Kaboom yuko vizuri sista, endelea naye tu, tena aliniambia ile tabia yake ya kuchangamkia fursa ameacha kabisa siku hizi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom