Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

Hivi mdada inakuwaje hata hunukii?

atoto Basi bora siku zigande aisee,mwaka usiishe..Ukiwa hauna pesa unakuwa na adabu sana teh
 
Last edited by a moderator:
Teh teh..Ninachokupendea ww wala hauna wivu

Khaaah! Unadhani siumiagi eti? Naumiaga basi tu najikazamo!!

atoto Basi bora siku zigande aisee,mwaka usiishe..Ukiwa hauna pesa unakuwa na adabu sana teh

Yaani we acha tu pesa ni shetani nimeamini, sasa nikichacha daima si utanipanda kichwani?
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa kwani na wewe hunukii mkuu? ila uenda tunafahamiana kweli Khantwe, kwani we upoje upoje? ahaaaaa swali gumu hili, loh!!!

Halafu una bahati, leo nilipanga nikumention pamoja na BADILI TABIA na amu, nilihisi mmekula kona labda hamnukii teh teh teh!!

Nina miguu,tumbo,kichwa,nywele...inatosha?
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli imebidi tu nije kulianzishia mada manake najiuliza sipati jibu kabisaaa!! But I don't intend to offend anybody!!

Kuna wadada wananichangazaga sana japo nakiri wazi ni very small population, lakini still najiuliza why wanabehave hivi?
Ngoja tu nitumie lugha ya kikubwa ili hata kama wamo humu JF basi wasiweze kujulikana, lakini ujumbe uweze kuwafikia na waweze kujirekebisha if possible.

Mdada wa kwanza namwita A, huyu mdada ameolewa, ana mtoto mmoja kama sikosei, ni msomi wa degree na ana kazi yake nzuri tu. So kipato kwake siyo ishu kabisa. Tatizo bana huyu dada hajipendi kabisaaa, yaani hadi ile ya kutia kinyaa. Always ngozi yake imepauka pau, mwanzoni nilidhani kasahau kupaka lotion, kumbe bana ndo alivyo, yaani yeye always ni mpauko. Basi acha ngozi basi, nywele nazo ni vile vile, no matunzo. Nguo anazovaa utafikiri hana kazi, daaah! Niliwahi kufikiria ningekuwa mumewe, nikagundua nafikiria the impossibles, nikabaki tu kusema No Way!!

Haya mdada wa pili namwita B. Huyu naye ni msomi wa degree pia, ana kazi yake pia nzuri tu, yeye hana hata mume, but she is still young anyway, nadhani yuko between 26-28. So naye kipato siyo ishu. Ila huwezi kuamini huyu dada hana hata pafyumu chumbani kwake, achilia mbali deodorant sijui nini. Ila msiniulize niliingiaje chumbani kwake. Viatu ana pea mbili, so anasomeka kabisa atatokea vipi!! Nguo sasa ni kituko, yaani nguo ni zile za ajabu ajabu tu, na ambavyo anavaa bila mpangilio sasa daaah!! Sidhani kama anaoga daily. Chumba chake ni simple zaidi ya simle nadhani, manake yale mazaga zaga tuliozoea kuona vyumbani kwa wadada, yeye kwake walaaaaa!!! Kuna wakati nafikiriaga suppose natafuta mchumba then nikakutana na huyu, for sure nitammwaga tu over time hakuna namna.

Nachoshangaa zaidi:
Wao (A na B) wanajiona wako poa kabisa, yaani hata hawajishtukii wala nini....life goes kama kawa

Najua usafi kwa kiasi kikubwa unategemea na malezi, ila ina maana huko walikopita sijue shule mabwenini sijui darasani walishindwa kukopi na kupesti kwa wenzao?

Najiulizaga huyo bwana wa A na boyfriend wa B, wao wanaona sawa tu? au nao ni wachafu vile vile? bahati mbaya siwajui wapenzi wao

Hivi mdada na elimu yako na pesa yako unashindwaje kunukia kwa mfano? yaani we upo upo tu na umelidhika, khaaaa!!

Au sijui ni matambiko?

Hebu naombeni mawazo na uzoefu wenu kuhusu hili aisee.

Kaka mkubwa Eli79 ulishakutana na hizi mambo bro?

Hebu sumbai twambie kama cute b ananukia bana

Au Kaboom ulimwacha atoto sababu ya hili? hivi binti yako Heaven Sent unamfundishaga na usafi kweli? usikute umekomalia akili za darasani tu

Mama mtafiti Blue G hili vipi, ulishaga lifanyia utafiti? hebu tupe mrejesho bana

What is you experience my dear NANDERA?

Ofcourse na wengine wote mnakaribisha

Inawezekana mabwana zao wanapata mihemko wakinusa harufu ya vikwapa!watu hutofautiana.
 
Last edited by a moderator:
Kuna price discrimination...kwako lnakuwa kubwa.

Sijiiiiiii! Kwani sagura unauza wewe tu? Naenda kwingine, tena kuna sehemu nimesikia zipo nzurii za bukubuku hunipati ng'oooo!
 
Sijiiiiiii! Kwani sagura unauza wewe tu? Naenda kwingine, tena kuna sehemu nimesikia zipo nzurii za bukubuku hunipati ng'oooo!

Teh teh shem,
Ila wewe si wanakupa hela kubwa,
Ndio maana namimi nakupiga cha juu
 
Teh teh shem,
Ila wewe si wanakupa hela kubwa,
Ndio maana namimi nakupiga cha juu

Khaaah shem unanichuna!! We huoni hapa nalalamika nimefulia hata hela ya spray sina!!!
 
Back
Top Bottom