Hivi mbona CCM wako kimya mpaka sasa?

Hivi mbona CCM wako kimya mpaka sasa?

.....CCM kuongelea ubaya wa Lowassa kwa sasa ni sawa na mtu
kujichungulia nyeti zake...Chadema kuongelea uzuri wa Lowassa
kwa sasa ni sawa na mtu kujitekenya na kucheka mwenyewe....Vyo
te vinahitaji uso usio na soni

By Edo kumwembe.
 
Hata wewe mkuu ukipigwa kofi la nguvu la usoni lazima akili zikuhame..CCM ilikuwa ina "mbipu" Lowassa na mwenzao kapiga simu …hawakutegemea kabisa kuwa Lowassa angechukua maamuzi kama haya…Huku mtaa wa Lumumba hakukaliki…makundi yanalaumiana na wanazidi kugwayana..hivi kalibuni kila mtu atachukua mbao zake….
Mimi nawaonea huruma sana akiana Ritz,fauzyfox,Lizabon Nape etc sijui wataishije mjini bila CCM
:cheer2:
Mkuu umenifurahisha sana kwenye nyekundu hapo.
 
CCM wamemaliza mchakato wa kumpata mgombea. Sasa waongee nini? na nani? Wa kuongea ni wale waliokatwa na kwa bahati mbaya badala ya kuongea kwenye vikao wanazungumza na magazeti ambayo mengi wanamiliki wenyewe. Halafu mbona anayelalamika ni mmoja tu na ndiye aliyekuwa na hofu tangu mwanzo kuwa jina lake litaondolewa? Mara likikatwa patachimbika, mara hakuna atakayethubutu kukata jina mara huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono n.k. Kinachoonekana sasa baada ya kukatwa badala ya kuchimbika yeye ameanza kuchimba kaburi lake kwa kifo chake cha kisiasa.

Tulieni dawa iwaingieee
 
Sahivi ni mda wa kazi mipasho waachiwe wanunuzi wa vyama
 
Kofili Lao haliuziki hata kwa dawa, limekuwa kama wali kiporo!! Kuna watu wana damu ya kupendwa bwana! lowasa Ana damu ya kupendwa
 
Yule kada mropokaji atasema lowasa ni gamba lililochanika .ccm imelichoka halina athari kwao.
 
Hata wewe mkuu ukipigwa kofi la nguvu la usoni lazima akili zikuhame..CCM ilikuwa ina "mbipu" Lowassa na mwenzao kapiga simu …hawakutegemea kabisa kuwa Lowassa angechukua maamuzi kama haya…Huku mtaa wa Lumumba hakukaliki…makundi yanalaumiana na wanazidi kugwayana..hivi kalibuni kila mtu atachukua mbao zake….
Mimi nawaonea huruma sana akiana Ritz,fauzyfox,Lizabon Nape etc sijui wataishije mjini bila CCM
:cheer2:

Huyo aliekuwa mzungumzaj mkuu..hili haliwezi tena...zile porojo za goli la mkono wap ss....!! siasa bwana...
 
Tangu kuanza kwa drama za watu waliokatwa na wasiotakiwa ndani ya chama kuhama na wengine kutishia kuhama chama..naona ccm wako kimya tu,ukimya wao utakua unaashiria nini?

Wamechanganyikiwa, wape pole tu!
 
Tangu kuanza kwa drama za watu waliokatwa na wasiotakiwa ndani ya chama kuhama na wengine kutishia kuhama chama..naona ccm wako kimya tu,ukimya wao utakua unaashiria nini?

Nenda kawaulize kwanza UKAWA kwa nini wako kimya suala la mgombea Urais wao?wasipokujibu siulizenya CCM!!!
 
Wamechanganyikiwa, wape pole tu!

Angalia picha hii ndo utajua nani kachanganyikiwa kati ya CCM na CHADEMA!!anzia na Mchungaji Msigwa mikono tumboni- ishara ya utii, Baregu kainama chini mikono kabana- Ishara ya kupoteza tumaini na kukosa mwelekeo, Dr.Slaa - mikono mfukoni- ishara ya kufa kiume na kujikaza tu japo inauma ha ha ha ha ha hadi huruma na hao ndo walikua vidume, wasemaji na mbwembwe kibao za kumtukana EL.
View attachment 271761
 
Back
Top Bottom