Hivi mbona CCM wako kimya mpaka sasa?

Hivi mbona CCM wako kimya mpaka sasa?

Jambo la kushukuru ni elimu ya uraia kwa wananchi,hizo shule za kata kwani hawa vijana waliomaliza elimu ya form four na wengine ambao wanaendela kusoma wamekuwa walimu wazuri kwa ndugu na wazazi wao huko vijijini

mambo ya ajabu sana haya!!! shule hizo zinaenda kumbeba mzee wa elimu kwanza aliyezianzisha
 
Nape yuko jimboni Mtama...Mangula yuko njombe anasimamia uvunaji wa viazi vyake....Kinana yuko china anashugulikia kuigomboa ile meli yake iliyokamatwa na meno ya tembo...JK yuko na mwanae Ally Australia wanakula mabiriani kama hawana akili nzuri ...
 
Back
Top Bottom