Hivi mbona CCM wako kimya mpaka sasa?

Hivi mbona CCM wako kimya mpaka sasa?

Pengine wanamkakati wa damage control. Lakini kila itakavyokuwa ccm itaathirika sana na kama ukawa wakishinda basi JK atakwenda kwenye historia kuwa ndiye aliyeua.
 
Subiri siku Lowassa atakapokabidhiwa kadi ya CHADEMA ndiyo utawaona CCM.

MaCCM huwa hayakurupuki katika mashambulizi ya kisiasa.

Ukiona simba amelowa...

Mimi kuna watu wananiacha hoi, kama Lowassa Kina membe tu walikuwa wanamtoa jasho na kumfanya ahangaike na kila aina ya politica stunt, hivi anategemea kweli wazee wa fitna wooote wa Lumumba wakiungana atasalimika?

Kama wazee wa-5 wa KK wamemnyoosha, what will happen, watu kama Kina wasira, Kinana, Makongoro wakiingia kwenye full assault?

Ningekuwa Lowassa, ningeachana na attack kwa CCM,kwani ni vita isiyoshindika,it has been proved, kwani hata akishinda kwa kura, kitengo kilichomkata jina, ndio hico hicho kimemteua mkurugenzi mpya wa NEC, na ndio kinasimamia BVR zote Tanzania..,

Mbowe huko aliko roho safi, kwani Bajeti ya Kampeni sio issue tena.., na kwa mara ya kwanza tutaona upinzani wakifanya proper campaign. Ila ukweli ni kuwa kama Maalim Seif hadi leo hii ni mpinzani.., basi Lowassa kuingia ikulu wakati kitengo kipo kinamtazama yatakuwa maajabu ya dunia ya 9. Yani ikitokea ameshinda kweli kweli, wataishia kumuundia serikali ya umooja wa kitaifa na kumpa cheo cha makamu wa 8 wa raisi mwenye ofisi mbezi makabe,huku wizara yake kuu ikiwa kitengo cha maafa na mazingira kama walivyomfanyia Maalim Seif.
 
Nakubaliana na wewe, ukimya wa ccm una kishindo kikuu.

Kikao cha Dodoma kilibadili upepo wa kisiasa wakati ulikuwa ni mchakato wa ndani tu, bado kampeni hazijaanza.
 
Tangu kuanza kwa drama za watu waliokatwa na wasiotakiwa ndani ya chama kuhama na wengine kutishia kuhama chama..naona ccm wako kimya tu,ukimya wao utakua unaashiria nini?

Mh mwenyewe nashangaa. Wenda wanajipanga watoke vipi.
 
Hata kwa goli la mkono CCM itabakia madarakani octoba na mtatafutana humu we unafikiri inchi mtaipata kwa porojo zenu hzo za ukawa na hata mkishinda msitarajie kupewa kirahisi.mfano tu cuf na ccm znzbar unajua ukweli ulioko chaguz zote ss ndo ujiulze je octoba ukiwa wataweza?au ndo ukiwa kweeeli mm npo
 
hata kwa goli la mkono ccm itabakia madarakani octoba na mtatafutana humu we unafikiri inchi mtaipata kwa porojo zenu hzo za ukawa na hata mkishinda msitarajie kupewa kirahisi.mfano tu cuf na ccm znzbar unajua ukweli ulioko chaguz zote ss ndo ujiulze je octoba ukiwa wataweza?au ndo ukiwa kweeeli mm npo

hapo ndio mtajua nguvu ya umma maana yake nini. Ile ya tunisia cha mtoto.
 
Hawa mkuu nawaomba tu mwezi octoba tuendelee kukutana humu jf ila ukweli ukawa hata wamuweke nani na ccm iweke jiwe itashinda tu
 
hata kwa goli la mkono ccm itabakia madarakani octoba na mtatafutana humu we unafikiri inchi mtaipata kwa porojo zenu hzo za ukawa na hata mkishinda msitarajie kupewa kirahisi.mfano tu cuf na ccm znzbar unajua ukweli ulioko chaguz zote ss ndo ujiulze je octoba ukiwa wataweza?au ndo ukiwa kweeeli mm npo

hiyo naikubali maana ndiyo mbinu ya ccm , lakini patachimbika
 
Mimi kuna watu wananiacha hoi, kama Lowassa Kina membe tu walikuwa wanamtoa jasho na kumfanya ahangaike na kila aina ya politica stunt, hivi anategemea kweli wazee wa fitna wooote wa Lumumba wakiungana atasalimika?

Kama wazee wa-5 wa KK wamemnyoosha, what will happen, watu kama Kina wasira, Kinana, Makongoro wakiingia kwenye full assault?

Ningekuwa Lowassa, ningeachana na attack kwa CCM,kwani ni vita isiyoshindika,it has been proved, kwani hata akishinda kwa kura, kitengo kilichomkata jina, ndio hico hicho kimemteua mkurugenzi mpya wa NEC, na ndio kinasimamia BVR zote Tanzania..,

Mbowe huko aliko roho safi, kwani Bajeti ya Kampeni sio issue tena.., na kwa mara ya kwanza tutaona upinzani wakifanya proper campaign. Ila ukweli ni kuwa kama Maalim Seif hadi leo hii ni mpinzani.., basi Lowassa kuingia ikulu wakati kitengo kipo kinamtazama yatakuwa maajabu ya dunia ya 9. Yani ikitokea ameshinda kweli kweli, wataishia kumuundia serikali ya umooja wa kitaifa na kumpa cheo cha makamu wa 8 wa raisi mwenye ofisi mbezi makabe,huku wizara yake kuu ikiwa kitengo cha maafa na mazingira kama walivyomfanyia Maalim Seif.

Leo umeongea kishabiki mkuu
Sio kila wakati kitengo kinakuwa na nguvu. Unafika muda itabidi wakubaliane na hali halisi tu. Utafanyaje hujuma kama mtu ameshinda kwa 80%?
Usiwe na uoga wa "kitengo" they are nothing sometimes.
Hilo swala la kuiattack CCM nakubaliana nalo 100%. Lowassa kama akiteuliwa kugombea urais akae chini na team nzima ya ukawa kutengeneza ilani ya uchaguzi na kuisimamia.
 
Mkuu ni kweli lakin mfano mzuri mm nacheki hali ya kisiasa znbar ccm utaitafuta kwa tochi lakin je kwann kila matokeo wanapishana kwa asilimia tena hata moja haifiki ukweli ccm kuitoa madarakani mm sisemi ila nangoja dk90
 
Ukiona wako kimya basi ujue wako bize wanakamua malimao wanywe juice.
Manake naskia bei ya malimao imepanda ghafla kwa dharura kama kile kikao chao CCM walichofanya jana kilichojadili habari ya Lowassa kuhama na kupanga mikakati ya kuzima umeme mikoa mikubwa hapa Tanzania ili kupunguza speed Lowassa
 
Mimi kuna watu wananiacha hoi, kama Lowassa Kina membe tu walikuwa wanamtoa jasho na kumfanya ahangaike na kila aina ya politica stunt, hivi anategemea kweli wazee wa fitna wooote wa Lumumba wakiungana atasalimika?

Kama wazee wa-5 wa KK wamemnyoosha, what will happen, watu kama Kina wasira, Kinana, Makongoro wakiingia kwenye full assault?

Ningekuwa Lowassa, ningeachana na attack kwa CCM,kwani ni vita isiyoshindika,it has been proved, kwani hata akishinda kwa kura, kitengo kilichomkata jina, ndio hico hicho kimemteua mkurugenzi mpya wa NEC, na ndio kinasimamia BVR zote Tanzania..,

Mbowe huko aliko roho safi, kwani Bajeti ya Kampeni sio issue tena.., na kwa mara ya kwanza tutaona upinzani wakifanya proper campaign. Ila ukweli ni kuwa kama Maalim Seif hadi leo hii ni mpinzani.., basi Lowassa kuingia ikulu wakati kitengo kipo kinamtazama yatakuwa maajabu ya dunia ya 9. Yani ikitokea ameshinda kweli kweli, wataishia kumuundia serikali ya umooja wa kitaifa na kumpa cheo cha makamu wa 8 wa raisi mwenye ofisi mbezi makabe,huku wizara yake kuu ikiwa kitengo cha maafa na mazingira kama walivyomfanyia Maalim Seif.
Mkuu,
Mbowe ni mfanya biashara mzuri tu. Biashara yake iko mbioni kulipa!

Kwake biashara kwanza, siasa baadaye.

Mzee Lowassa yeye kwa sasa anaangalia siasa kwanza baada ya kutajirika ndani ya CCM.

Sina shaka watu kama kina Makongoro Nyerere, Butiku, Warioba kwa sasa wanafanya sherehe baada ya Lowassa kukabidhiwa kadi ya CHADEMA.

MaCCM kwa sasa yanajipanga kuanza mashambulizi!

UKAWA wataingia kwenye uchaguzi wakiwa katima msingi wa kujibu mashambulio ya CCM badala ya wao kuwashambulia CCM.

Lowassa hata kuongea tu kwa sasa hawezi ataweza kujibu mashambulizi ya MaCCM.

Hii dhihaka kwa Dk. Slaa ambaye kwa miaka 5 alikuwa anajiandaa kugombea Urais. Tulikuwa tunaambiwa alikuwa anafanya ziara kwenye nchi za Magharibi kupata uzoefu wa kuendesha nchi na kwa sasa safari yake imeisha kabla haijaanza!
 
Leo umeongea kishabiki mkuu
Sio kila wakati kitengo kinakuwa na nguvu. Unafika muda itabidi wakubaliane na hali halisi tu. Utafanyaje hujuma kama mtu ameshinda kwa 80%?
Usiwe na uoga wa "kitengo" they are nothing sometimes.
Hilo swala la kuiattack CCM nakubaliana nalo 100%. Lowassa kama akiteuliwa kugombea urais akae chini na team nzima ya ukawa kutengeneza ilani ya uchaguzi na kuisimamia.

unasahau kuwa hao aliowashindwa EL akiwa ndani ya CCM ndio hao hao anapamabana nao akiwa nje ya CCM. hii ni vita ngumu kwa EL.kama walimpiga chini wakati alikuwa na wadhamini laki 8, unategemea watamuachia ikulu hata akipata kula milioni 80?watamkata tu.

kitendo cha EL kutokuliona au kulitambua hili, kinaonesha amefanya maamuzi ya hasira.
 
Nawaza tyuu na akili zangu za kikeni
Yaaani umeolewa umeanza na Mwanaume akiwa apecheeee
Mkajibana weee Mkaanza kujenga nyumba yenu somewhere
😛ainkiller:Nyumba imeisha , Mmeweka Fenicha Mpya mwenyewe Mama Mwenye Nyumba umeanza kufanya na vishopping vya viblauzi vya mtumba mwenge , vya kuingilia nyumba mpya 😛ray2:.....Ghafla Mumeo anakwambia , sasa naenda OA halafu wewe utakuwa Housegirl wa Mke wangu Mpya !
:A S angry::A S angry:
Poleni sana Dr Slaaa na Lipumba , ndoto zenu zimekwendraaa :sick:
 
CCM wanajua wanchokifanya, kukata jina la Lowasa huku wakijua ana wafuasi wengi si uamuzi wa kukurupuka, na huu mchezo wa siasa ni mbaya sana, CCM knows Lowasa inn and out, and Lowasa knows CCM as well, Nina imani kati yao kuna mmoja kakurupuka na maamuzi yake, hakujipanga!, So ukimya wa CCM si wa kuushangilia kabisa (Kama wewe ni mpinzani wa kweli).
 
Back
Top Bottom