matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,596
- 15,393
nyokoKwenye kamusi neno {NYOKO}= "nyoko ni nyama ya mbele ya mama yako"....
OVER!
haya Mama (NYOKO).Wewe kweli nyoko kwahiyo kuwaza kote umekuja na hizi pumba?
Matusi ni raha na karaha kama ilivyo kwa lingine lolote. Kwa mmoja raha kwa mwengine karaha.msinione mjinga, ioa najiuliza tu.....
matusi ni nini?
Kwa nini mfano neno '' Nyoko'' kwa maana ya asili ni ''Mama''
mtu akiambiwa ''Nyoko'' anakuna, anakasirika anataka hata kupigana hata kama ni mmama.
Neno hilohilo utasikia vijana wanaambiana '' Yule jamaa ni Nyoko'' yaani Yuko vizuri kupitiliza.
kwa nini tukasirike tunapotukanwa hata kama maana ya tusi haina uhusiqno na uhalisia wetu?
Veronica kuwa makini na JF huwa utaishiwa kuchezewa tu.haya Mama (NYOKO).
Haya NYOKO.Veronica kuwa makini na JF huwa utaishiwa kuchezewa tu.
Mngepatikana kama nyinyi !!!.... safi sana wee ni nyoko!!!Tusi ni matumizi mabaya ya kauli au neno. Neno laweza kuwa tusi kwa mtu A na lisiwe tusi kwa mtu B kutegemeana na muktadha wa mazungumzo. Mimi ni mweusi lakini kuna mazingira ya kuzungumzia weusi wangu kutafanya lionekane ni tusi ama la!.
Barafu la moto
msinione mjinga, ioa najiuliza tu.....
matusi ni nini?
Kwa nini mfano neno '' Nyoko'' kwa maana ya asili ni ''Mama''
mtu akiambiwa ''Nyoko'' anakuna, anakasirika anataka hata kupigana hata kama ni mmama.
Neno hilohilo utasikia vijana wanaambiana '' Yule jamaa ni Nyoko'' yaani Yuko vizuri kupitiliza.
kwa nini tukasirike tunapotukanwa hata kama maana ya tusi haina uhusiqno na uhalisia wetu?
msenge ni mtu mume anayeingiliwa kimapenzi nyuma na maumbile.Umeona ujanja kweli kufahamu kuwa Nyoko lina maana tofauti na tusikias kwamba hata mtu akikwambia Nyoko huwez kuchukia
Haya kwa mfano Mtu akikuita we Msenge,,we msenge wewe njoo nikutume msenge mkubwa wewe
Utamwambia nini Mkuu
jitahidi kuandika vizuri ueleweke.Matusi ni lugha na maneno yote yasiyokubalika katia jamii.
Mananeonu ambayo kuyatumia ni un ethical and immoral.