Hivi ni kwa Nini ukionesha maufundi ( sex styles) mnapokuwa faragha lazima uonekani muhuni?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,789
NALIA NGWENA The left foot magician (Aziz k) huwa nakutana na maswali ninapokua na Bebe (totozi) haswa pale ninapotumia styles zangu kuntu nilizojifunza kutoka kwenye sehemu mbali mbali na jamii forum ikiwemo haswa hili jukwaa la mapenzi.

Utasikia hii umejifunzia wapi??

Wewe unaonekana muhuni sana hata Sina Imani na wewe!!

Wakati huwa natumia silaha zangu ili kumfurahisha lakini bado naonekana muhuni hivi ni kwa Nini??
Tena Kuna wengine huthubutu kabisa kusema siwezi kudate na mwanaume anayejua mitindo yote.
 
Maana hakuna chuo cha mapenzi, lazima mtu ahoji utundu wote ule umejifunzia wapi!
 
Wakati huwa natumia silaha zangu ili kumfurahisha lakini bado naonekana muhuni hivi ni kwa Nini??
Tena Kuna wengine huthubutu kabisa kusema siwezi kudate na mwanaume anayejua mitindo yote.
Wanawake huishi kwa hisia na kamwe hata ufanyeje huwezi kuwatosheleza. Cha muhimu kama ukiona mwanamke ameanza kuleta za kuleta, achana naye tafuta mwingine anayejua thamani ya maufundi yako. Au kama umeoa, anza kuchepuka huenda ukapata mchepuko atalayekuelew vizuri zaidi. Wanawake wa kizazi hiki ni kama vil wamelaaniwa!
 
Ipoje hiyo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hiyo kwa hapa uswahilini wanaita Jihad lakini ushuani ni Sungunyo yaani mama la mama anapanda juu ya dirisha anajishikilia na wewe mwamba unakuwa unaituma mashine juu kwa juu yaani full mautundu , dakika mbili nyingi mwamba umefika na bibiye hana habari na ww tena .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom