Hivi matusi ni nini? kwa nini mtu akoswe amani akitukanwa?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
3,143
2,000
msinione mjinga, ioa najiuliza tu.....
matusi ni nini?
Kwa nini mfano neno '' Nyoko'' kwa maana ya asili ni ''Mama''
mtu akiambiwa ''Nyoko'' anakuna, anakasirika anataka hata kupigana hata kama ni mmama.

Neno hilohilo utasikia vijana wanaambiana '' Yule jamaa ni Nyoko'' yaani Yuko vizuri kupitiliza.

kwa nini tukasirike tunapotukanwa hata kama maana ya tusi haina uhusiqno na uhalisia wetu?
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,266

Matusi ni raha na karaha kama ilivyo kwa lingine lolote. Kwa mmoja raha kwa mwengine karaha.
 
Vitalis Msungwite

Verified Member
May 11, 2014
2,177
2,000
Tusi ni matumizi mabaya ya kauli au neno. Neno laweza kuwa tusi kwa mtu A na lisiwe tusi kwa mtu B kutegemeana na muktadha wa mazungumzo. Mimi ni mweusi lakini kuna mazingira ya kuzungumzia weusi wangu kutafanya lionekane ni tusi ama la!.Barafu la moto
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
49,051
2,000
Matusi ni lugha na maneno yote yasiyokubalika katia jamii.

Mananeonu ambayo kuyatumia ni un ethical and immoral.
 
stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,213
2,000
msinione mjinga, ioa najiuliza tu.....
matusi ni nini?
Kwa nini mfano neno '' Nyoko'' kwa maana ya asili ni ''Mama''
mtu akiambiwa ''Nyoko'' anakuna, anakasirika anataka hata kupigana hata kama ni mmama.

Neno hilohilo utasikia vijana wanaambiana '' Yule jamaa ni Nyoko'' yaani Yuko vizuri kupitiliza.

kwa nini tukasirike tunapotukanwa hata kama maana ya tusi haina uhusiqno na uhalisia wetu?

Umeona ujanja kweli kufahamu kuwa Nyoko lina maana tofauti na tusikias kwamba hata mtu akikwambia Nyoko huwez kuchukia
Haya kwa mfano Mtu akikuita we Msenge,,we msenge wewe njoo nikutume msenge mkubwa wewe
Utamwambia nini Mkuu
 
matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
3,143
2,000
Umeona ujanja kweli kufahamu kuwa Nyoko lina maana tofauti na tusikias kwamba hata mtu akikwambia Nyoko huwez kuchukia
Haya kwa mfano Mtu akikuita we Msenge,,we msenge wewe njoo nikutume msenge mkubwa wewe
Utamwambia nini Mkuu
msenge ni mtu mume anayeingiliwa kimapenzi nyuma na maumbile.
sasa mimi hilo neno halitanihusu wala kunisumbua maana sifanyi hayo.
Ni ujinga kuumia kwa kuambiwa mambo ambayo wewe unajua huyafanyi.
 
magode

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
2,121
2,000
Tusi huwa ni tusi kutokana na tafsiri ya aliyetukanwa na tafsiri hizo huwa na maana 2 yaani hasi au chanya.ndo maana matusi hayo hayo utawakuta wengine wanaambizana na kucheka tu km maongezi ya kawaida.

Lkn matusi hayo hayo ukimwambia mwingine anarusha ngumi. Hivyo tusi ili liwe tusi hutegemea na tafsiri ya aliyetukanwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom