GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,742
- 109,177
Mbona miezi iko mingi tu kwanini nyie 'mhangaike' sana na huu Mwezi Mmoja tu wa Disemba?
Kiukweli mnatusumbua sana na hizi Kelele zenu za kila ukifika tu Mwezi huu wa Disemba kuwa kuna shida ya Usafiri na kwamba Nauli nazo huwa zinapandishwa maradufu.
Acheni kuishi 'Kimatambiko' na anzeni pia kujiwekea utaratibu wa kwenda huko Kwenu Kilimanjaro hata katika Miezi mingine na msilazimishe tu huu Mwezi wa Disemba.
au mkiweza igeni tabia za haya Makabila ya 'Washamba' Tanzania nzima ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wakara, Warangi na Wanyamwezi ambao utaratibu wao wa kwenda Kwao huko huwa ni kila baada ya Miaka Mitano au hata Kumi vile vile.