Hivi 'Mashemeji' zangu 'Wachagga' kwani ni lazima muende Kwenu Kilimanjaro kila 'Krismasi' tu?

Kuna msukuma alikua anaishi Dar, alioa mchaga alipokufa Crew la Wachaga upande wa mke wake wakang'ang'ania azikwe Dar ... wakaleta mapolisi, akazikwa kinondoni. Familia ya mume hawakwenda msibani walizira.

Siku ya tatu mama la kichaga likachukua Semi kwenda kupakia ngombe wote wa mme wake shinyaga moja kwa moja akaenda kushusha mnada wa pugu.

Unapoongelea kuoa mchaga jitathmini aisee. Hakuna masikhara pale...wamechanganyikiwa na pesa wale. Utake usitake utakufa tu. Hata kama yeye anakupenda trust me mipango ya kukutanguliza itafanywa na ndugu zakw hata bila yeye kushirikishwa na baadae akisharithi kila kitu ndo wanakaa wanamuuliza ULIKUA UNACHELEWA NINI??
Aiseee!
 
Ngoja tushushe vifungu vya kwenye biblia wanayoifuata kama wakristu halafu waje wadadavue hiyo mizimu wanayoabudu ni kitu gani hasa.

AYUBU: MLANGO 14.

10 Lakini mwanadamu hufa, hufariki dunia; Naam, mwanadamu hutoa roho, naye yupo wapi?



11 Kama vile maji kupwa katika bahari, Na mto kupunguka na kukatika;



12 Ni vivyo mwanadamu hulala chini, asiinuke; Hata wakati wa mbingu kutokuwako tena, hawataamka, Wala kuamshwa usingizini.



21 Wanawe hufikilia heshima, wala yeye hajui; Kisha wao huaibishwa, lakini yeye hana habari zao.
 
Acha upuuzi wewe.

Kila mtu afanye anachoona ni sawa kwake. Hakuna aliepangiwa mwenzi wa kwenda kwao. Kila mtu aende akitaka. Sisi Wachagga tumechagua tupambane mwaka mzima halafu mwisho wa mwaka twende kwetu kusalimia wazee wetu na kufurahia sikukuu za Noeli na Mwaka Mpya.

Kama unaona wivu kufa tutatuma rambirambi.
Kumbe wewe ni half caste wa kimasai na kichaga
 
Back
Top Bottom