Hivi Mange Kimambi ana elimu gani?

Naona watu mnamchambua "hero" wa CHADEMA!!!

No wonder hivi sasa CHADEMA wanaishia kutiwa makonde na kuambulia kiti kimoja out of 43!!!

Mtu kama Mange hawezi kuwa influencer halafu ukatarajia kupata watu makini na matokeo yake chama kinaishia kuwa na wafuasi wapiga kelele ambao hawana physical political interaction yoyote zaidi ya Instagram ambako kura wala hazipigwi!!!
 
CHADEMA siku hizi hata hawaeleweki kabisa.

Kuna leadership crisis ndani ya hicho chama.

Even worse, huyo dada ni kama ndo de facto spokeswoman wa hicho chama.

Yeye ni matusi tu. That’s the only thing she’s good at.

Very sad to see CHADEMA go down the drains like this.
 
hoja humu ni elimu yake haya mengine achaneni nayo
 
Wanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!
Mange kaelimika sana anaujuzi na ufahamu wa mambo mengi,ila hajahudhuria vidato vingi kukaa darasani kama hao wenye vyeti na PHD feki
 
Ana masters, kama inavyoonejana hapa. Ila itapendeza zaidi ukishare na wewe elimu yako.

upload_2017-11-29_11-9-59.png
 
Kuna nini cha ajabu zaidi ya kwamba ndio University ya kwanza Tanzania?

Au na wewe ndio waliokariri shoeshine ni kiwi tu na margarine ni blue band tu na dawa ya meno ni Colgate.

Haya ni mawazo ya kijima.
Teh teh teh..
 
Mange akuwahi kusoma Degree buana hapo UDSM, alisomaga Diploma ya computer kuna hicho chuo kilikua na tawi hapo UDSM sema nishakisahau! mbona alifungukaga mwenyewe kwenye ile blog yake U-TURN.Hahaha ila mnavyobishana hadi raha.
 
Mange ni msomi nakumbuka miaka ya 2000 tulifanya nae kazi Stanbic kalikua kadada kapole sana most of time kamezubaasijui huu uchakaramu alijifunzia wapi
 
Back
Top Bottom