Hivi Makonda ndio "katoswa" au kuna mchongo anatengenezewa?

Mkuu kashasema na anarudia kusema kila siku anapoapisha mtu mpya

ana reserve nyingi,ana sub za kutosha zilizo nnje ya uwanja,mliochaguliwa

msizembee,msilale cause anytime anaweza ingiza sub nyingine,makonda ni SUB inayopasha yani yuko nnje anazunguka uwanja na kunyoosha viungo anasubiriwa m'borongaji mmoja tu.
 
kuna msemo unasema jipu huwa halizidi nywele bashite alifanya utoto sana kuacha u RC kipindi cha kampeni kwenda kwenye ubunge mzee ali mind sana so amempotezea kimoja kumbuka wakina polepole na katibu walivyokua wana muonya na alikua hasikiii so amekua gunia la misumari halibebeki
 
Wametibua nini, au kumpiga ban kuingia U.S.A ila hata kama hyo inazuiaje kuendelea kubwa kwa mbeleko ya bwana yule.

Nafasi zote nyeti za kuuzia sura na front page katoswa unategemea nn.
Bashite ni gunia la misumari
 
Moja kwa moja kwenye mada, wakuu najua kuna wengi tuliwaza kua kuenguliwa kwa Bashite na kuondowea kua RC ilikua ni njia ya kumuandaa kumuweka mahala pa juu zaidi.

Kuna mpaka waliotabiri kua huenda akawa waziri mkuu baada ya uchaguzi, wengine waliwaza uwaziri, hata Paschal Mayalla alitabiri ati Bashite ndie raisi ajae baada ya Jiwe na uzi wake upo humu, wengine uspika kwakweli wengi tulitarajia kijana huyu "kipenzi cha mkuu" kutua katika cheo cha maana.

Ikumbukwe kijana huyu alikua kipenzi haswa cha bwana yule na hata yeyote aliejaribu kumgusa alikiona chamoto vipi niwakumbushe kilichompata Nape Nauye au Kabobe nk.

Makonda alikuwa mpaka anatembea na convoy ulinzi wa Rais atakavyo yeye mwenyewe binafsi, mnakumbuka alivamia mawingu fm akiwa na vikosi maalumu anaviamrisha apeavyo. Nani amesahau kijana alivyokua mpaka anawatishia mawaziri "kuwasemea" kwa mkuu na wakawa wanafyata mikia yao vizuri hiiiiii bagosha !!

Ilikua ukimgusa Makonda umemgusa mkuu, Makonda alikuwa na uwezo wa kumfanya mtu yeyote chochote atakacho. Kuna kibonzo niliona kimechorwa Bashite kabebwa mgongoni na bwana yule huku kashika SMG AK 47.

Kuna picha ya Ikulu ilipigwa jamaa akiwa kakaa siti ya jirani na mkuu siti iliyotakiwa kukaliwa na makamu wa raisi ila yeye ndo alikaa huku makamu wa raisi ikikaa mbali huko, wataalamu wa itifaki walikosoa sana ila yote kwa yote tunakumbuka "uswahiba" wa Bashite na mkuu.

Swali langu kijana wa kithembe, thatha imekuaje tena au ndo tutheme katibuana na bwana yule ?! Au ndo bado anasukiwa channel ?! Au ndo vipi wataalamu wa kubashiri mtheme jambo tafadhali.

Mchongo unatengezwa hajatoswa huyo we subiri utaona atakapoibukia
 
Alikuwa anataka kumzidi mkuu kwa umaarufu, hilo ni kosa
 
Miswahili bana imeshaanza majungu!! hapo jileta mada linatamani huyu bwana akomeshweeee!! ole wenu ombeni hivo hivo nikiwa Rais kijana nampaisha ki vyovyote vile!!! mnamsema mpaka ashindwe kufanya kazi atembee kwa hofu? hee! wivu mwningine hasara madktari mnwasema waalimu manesi ptyuuup
 
Back
Top Bottom