Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,799
- 165,546
- Thread starter
- #41
Jibu ni rahisi tu,kama hakuna vita,wanajeshi wengi wanakuwa "idle".Ni vitengo vichache tu vinakuwa na kazi za kila siku.Wale wanaotaka kulijua jeshi kupitia mtandao mnapoteza muda wenu tu, kiufupi ni chombo kinachoendeshwa kwa usiri na nidhamu kuliko hata TISS, mimi leo sishangai kumsikia mtu akiuliza hata shughuli anayofanya rais kwa vile tu haionekani moja kwa moja,
Si jambo la busara kujadili masuala ya vyombo vyetu vya usalama kupitia mitandao ambayo husomwa na watu ktk nchi tofauti kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa nchi na watu wake. vinginevyo mtakuwa mnajibu maswali ya kina kagame na m23 bila kujijua.