Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,788
- 165,484
Moja ya jukumu kubwa la wanajeshi ni ulinzi wa mipaka ya nchi na hasa kukabiliana na uvamizi wa kijeshi kutoka mataifa mengine
Hata hivyo ni ukweli kuwa nchi yetu kuingia vitani ni tukio la nadra kutokea kama ilivyo nadra kuandika upya katiba ya nchi.
Ukiachilia mbali matukio kama uvamizi wa mipaka ya nchi,hata matukio kama majanga mbalimbai kama vile mafuriko n.k ambayo hulazimisha jeshi kutumika nayo ni ya mara moja moja tu.
Sasa swali langu kwa wanaojua ni nini hasa kazi zinazofanywa na wanajeshi kila siku ya mungu katika makambi yao?Au majukumu ya jeshi ni siri?
Inawezekana kuna vitengo vina kazi ya kila siku lakini sidhani kama ni kwa jeshi zima.
Kama kweli hali ndio hio,hakuna umuhimu wa jeshi kupangiwa majukumu mengine ya kitaifa?