Hivi maex huwa wanaachana?

Hivi maex huwa wanaachana?

Inafwatana na mwanamk mwenyewe, Kama huy niliekutana nae pia ni kishoiya sijawai ona. Ni sawa na mleta mada , maana wnagu nilivyomuliza sababu ya kunizingua, alisema x wake ameenda kumuomba msamaha kwa hiyo kamua kurudiana nae na huy ndiye alikuwa first guy wake.....nae mleta maada kasema x alikuwa first guy wake!!!! Kwa hiyo mwanaume unakuwa unamsoma x wako udhaifu wake, kama kamrudia x wake kakuavha, kama hakuridhika unajipa muda na wewe unarudi tena lazima atakubali tu!!!!..... Kwa mim mtu wa hiv kumludia inanipa wasiwasi sana......Ila girls mjitathmin sana kwenye mambo ya mahusiano mnafeli kinyama
First guy ndo nini bhana em uko ni ujinga tu hakunaga cha maana
 
Wanaume huwa hatuachi wanawake,maamzi yanabaki kwa mwanamke sasa.
 
Mamama..eee walahi jamaa na hiyo laki yake si bora ata angebetia tu.
 
mapenzi ni kitu cha ajabu sana............................................................................................................
 
Habari za jion wana jamii forum.

Basi siku ya ijumaa bwana nilitoka kazini mapema, niliaga naenda kufanya kazi za nje kumbe nina miadi ya mupenzi.
Imefika saa 6 mchana nikaondoka kazini,tukakutana sehemu,haooo hadi maeneo flani tukafanya yetu.By saa mbili usiku tukaamua tutoke tupite sehemu tupate supu kidogo kabla ya kuagana.
Tumefika pale tukawakuta na mashost zangu,tukala,story mbili tatu, then mista akanambia babe tuondoke.Nikamjibu mbona bado mapema,kama pameanza kuhappen vile; basi akaniachia laki 1 akanambia enjoy na wenzio ila usichelewe kurudi kwako.Nikamjibu ok.Akaondoka kwani alikuwa kachoka so he needed to rest.

Bwana weeh kumbe ile sehemu alikuwepo ex wangu,ila sikumwona.Sema yeye aliniona na mtu so akachil.Mashost zangu kumbe walijua yupo ila hawakunambia.Alivoona babe wangu kaondoka ,akahama meza akaja meza yetu.Lahaula nikabak mdomo wazi tu.Akajisogeza akakaa karibu nami,akaanza agiza vinywaji kwa fujo huku akinambia watakuja wengi sana ila yeye ndo mmiliki.Mashost wakawa wanasapot tu.Mwisho wa siku tuliondoka wote.

Tucut the long story short, hivi maex huwa hawaachani?Manake naona aibu hata kupokea simu za mupenzi since jmos.Niko very serious naye,sema naona kama na huyu ex kama anakuja kasi sana.Nahisi hata ataweza niharibia kwa my man.Nifanyeje niepuke huu msala?
hiyo inaitwa KUKU wangu MANATI ya nini???
 
Kuna jamaa yangu mmoja mpaka leo anasema na kuamini kuwa mungu wa Wanawake amekufa! Sikuwa Namuelewa ila kwa uzi huu naanza kumuelewa. Ndio maana anawagegeda mademu anavyo taka! Na anawadharau sana anawaita kenge. Samahani lakini.....
Ni kuwa makini tu na bahati pia. Ukipata anayejitambua mthamini na kumjali, ukikutana na asiyejitambua tumia to the maximum.
 
wew ni malaya tu ila wanaachana vizur
kwa kawaida wanaume hua hatuachi
 
Habari za jion wana jamii forum.

Basi siku ya ijumaa bwana nilitoka kazini mapema, niliaga naenda kufanya kazi za nje kumbe nina miadi ya mupenzi.
Imefika saa 6 mchana nikaondoka kazini,tukakutana sehemu,haooo hadi maeneo flani tukafanya yetu.By saa mbili usiku tukaamua tutoke tupite sehemu tupate supu kidogo kabla ya kuagana.
Tumefika pale tukawakuta na mashost zangu,tukala,story mbili tatu, then mista akanambia babe tuondoke.Nikamjibu mbona bado mapema,kama pameanza kuhappen vile; basi akaniachia laki 1 akanambia enjoy na wenzio ila usichelewe kurudi kwako.Nikamjibu ok.Akaondoka kwani alikuwa kachoka so he needed to rest.

Bwana weeh kumbe ile sehemu alikuwepo ex wangu,ila sikumwona.Sema yeye aliniona na mtu so akachil.Mashost zangu kumbe walijua yupo ila hawakunambia.Alivoona babe wangu kaondoka ,akahama meza akaja meza yetu.Lahaula nikabak mdomo wazi tu.Akajisogeza akakaa karibu nami,akaanza agiza vinywaji kwa fujo huku akinambia watakuja wengi sana ila yeye ndo mmiliki.Mashost wakawa wanasapot tu.Mwisho wa siku tuliondoka wote.

Tucut the long story short, hivi maex huwa hawaachani?Manake naona aibu hata kupokea simu za mupenzi since jmos.Niko very serious naye,sema naona kama na huyu ex kama anakuja kasi sana.Nahisi hata ataweza niharibia kwa my man.Nifanyeje niepuke huu msala?
Acha umalaya wewe...
 
Roho ya uzinzi inayowatesa mabnti wengi wadiojitambua hata sasa. Na hii imepelekea kuvunja ndoa nyingi sana
 
Back
Top Bottom