Hivi maex huwa wanaachana?

Hivi maex huwa wanaachana?

Haiitaji kuwa na pesa za kigeni kuconfirm kuwa wewe ni malaya.
 
Habari za jion wana jamii forum.

Basi siku ya ijumaa bwana nilitoka kazini mapema, niliaga naenda kufanya kazi za nje kumbe nina miadi ya mupenzi.
Imefika saa 6 mchana nikaondoka kazini,tukakutana sehemu,haooo hadi maeneo flani tukafanya yetu.By saa mbili usiku tukaamua tutoke tupite sehemu tupate supu kidogo kabla ya kuagana.
Tumefika pale tukawakuta na mashost zangu,tukala,story mbili tatu, then mista akanambia babe tuondoke.Nikamjibu mbona bado mapema,kama pameanza kuhappen vile; basi akaniachia laki 1 akanambia enjoy na wenzio ila usichelewe kurudi kwako.Nikamjibu ok.Akaondoka kwani alikuwa kachoka so he needed to rest.

Bwana weeh kumbe ile sehemu alikuwepo ex wangu,ila sikumwona.Sema yeye aliniona na mtu so akachil.Mashost zangu kumbe walijua yupo ila hawakunambia.Alivoona babe wangu kaondoka ,akahama meza akaja meza yetu.Lahaula nikabak mdomo wazi tu.Akajisogeza akakaa karibu nami,akaanza agiza vinywaji kwa fujo huku akinambia watakuja wengi sana ila yeye ndo mmiliki.Mashost wakawa wanasapot tu.Mwisho wa siku tuliondoka wote.

Tucut the long story short, hivi maex huwa hawaachani?Manake naona aibu hata kupokea simu za mupenzi since jmos.Niko very serious naye,sema naona kama na huyu ex kama anakuja kasi sana.Nahisi hata ataweza niharibia kwa my man.Nifanyeje niepuke huu msala?
Ww mwanamke ni kicheche unaitaji maombi sana
 
Nami nichangie iv, ili ma x waachane, mwanaume ana role kubwa Sana Na sio mwamamke. From my experience nimegundua girls hufanya maamuzi ya pupa Sana Kwa wapenzi wao...wanapowaacha hivyo kuwafanya kuwawaza tena baada ya kukutana Na misala huko alipo enda. Kuna girl alinitosa by the time tunaenda chuo, Na toka siku amezingua sikuwai mtafuta tena,mara paa tukachaguliwa chuo kimoja ...nilichofanya nikutokuwa Na mazoea nae wala ukaribu zaid ya kumsalimia tu tukionana kweny compound ya chuo licha ya yy kunitangaza sana Kwa shost zake kwamba mi ni x wake..... Sasa akaanza kunipa hai Sana , kuna siku akajichekesha IV nikachuna mara kachuna akaacha kunitoa hi tena!!!! Kwa hiyo basi Kwa body language yake 100% nikirudi nakula lakin Na Mimi sitaki Na najizuia San nisirudi...... naye hawezi nianza Kwa kuhofia kuonekana cheap, Na zile fujo za kipindi kile......Ma x wanaachana mwanaume akiamua, na hawaachani mwanaume akiamua!!!!!
 
Hakika wanawake hamnaga msimamo.mtaka vyote hukosa vyote.
Huwa nawacheki wakwe wanavopangaga mahali ndefu kumbe binti yao kapigwa miti balaa mtu unazoa kombo.
Ila chagua mmoja dada yangu uwe huru na penzi.
hata mimi huwa nashangaa sana wapanga mahari, huwa wanajitoa ufahamu kwa kupanga mahari kubwa bila ya kuzingatia uadilifu wa binti husika
 
Sinaga ham na maex
Japo huwa wanajirahisisha sana
 
Nami nichangie iv, ili ma x waachane, mwanaume ana role kubwa Sana Na sio mwamamke. From my experience nimegundua girls hufanya maamuzi ya pupa Sana Kwa wapenzi wao...wanapowaacha hivyo kuwafanya kuwawaza tena baada ya kukutana Na misala huko alipo enda. Kuna girl alinitosa by the time tunaenda chuo, Na toka siku amezingua sikuwai mtafuta tena,mara paa tukachaguliwa chuo kimoja ...nilichofanya nikutokuwa Na mazoea nae wala ukaribu zaid ya kumsalimia tu tukionana kweny compound ya chuo licha ya yy kunitangaza sana Kwa shost zake kwamba mi ni x wake..... Sasa akaanza kunipa hai Sana , kuna siku akajichekesha IV nikachuna mara kachuna akaacha kunitoa hi tena!!!! Kwa hiyo basi Kwa body language yake 100% nikirudi nakula lakin Na Mimi sitaki Na najizuia San nisirudi...... naye hawezi nianza Kwa kuhofia kuonekana cheap, Na zile fujo za kipindi kile......Ma x wanaachana mwanaume akiamua, na hawaachani mwanaume akiamua!!!!!
Huwa mnakutana wanawake vishoiya kama huyu mleta mada siwezi fanya huo upuuzi kwa mtu nloamua kabisa kuwa imekwisha ni upuuzi mwanamke kumdunukia nguo mwanaume ambae mlishapita huko
 
Huwa mnakutana wanawake vishoiya kama huyu mleta mada siwezi fanya huo upuuzi kwa mtu nloamua kabisa kuwa imekwisha ni upuuzi mwanamke kumdunukia nguo mwanaume ambae mlishapita huko
Inafwatana na mwanamk mwenyewe, Kama huy niliekutana nae pia ni kishoiya sijawai ona. Ni sawa na mleta mada , maana wnagu nilivyomuliza sababu ya kunizingua, alisema x wake ameenda kumuomba msamaha kwa hiyo kamua kurudiana nae na huy ndiye alikuwa first guy wake.....nae mleta maada kasema x alikuwa first guy wake!!!! Kwa hiyo mwanaume unakuwa unamsoma x wako udhaifu wake, kama kamrudia x wake kakuavha, kama hakuridhika unajipa muda na wewe unarudi tena lazima atakubali tu!!!!..... Kwa mim mtu wa hiv kumludia inanipa wasiwasi sana......Ila girls mjitathmin sana kwenye mambo ya mahusiano mnafeli kinyama
 
Back
Top Bottom