MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,460
- 1,476
Ex Kwanza Ni Nani? Maana Naona Wengi Mnanitindiganya Hapa, Lets Say Umekuwa Na Mahusiano matatu Tofauti Yaliyopita, Na Sasa Upo Na Current, Sasa Kati Ya Hawa Watatu Waliopita Ex Ni Yupi? Kuhusu Dada , Nakupa Big Up KwaKutoa La Moyoni, May Be Ungekaa Nalo Lingekutesa Zaidi
