Tofauti ya angalizo langu na lako ipo wapi? Hivi maex huwa wanaachana? - JamiiForumsPole mama...jitahidi uwe msiri kwa mambo yako kwa marafiki...yote wamefanya kwakuwa walikujua kiundani...wasingejua wasingekufanyia kitu
Magonjwa gani nilitumia kingadah, we binti wewe! utamuua mwenzio kwa magonjwa
Aibu haiwezi kuja bila ya ex wako kishakutafuna papuchi.😁Manake naona aibu hata kupokea simu za mupenzi since jmos
We umemaanisha asingeleta *uzi hapa*...akae kimya... unataka afie na tai shingoni...Tofauti ya angalizo langu na lako ipo wapi? Hivi maex huwa wanaachana? - JamiiForums
kumbe wewe ni mama huruma hivyo! mh,Magonjwa gani nilitumia kinga
Usinihukumu
Sasa kama mtu anakufoc hadi anataka kuleta skendo ulitaka nifanyaje?
kwa hiyo kila mtu akikufos wewe unampa tu!Magonjwa gani nilitumia kinga
Usinihukumu
Sasa kama mtu anakufoc hadi anataka kuleta skendo ulitaka nifanyaje?
Hivi wewe unaweza kujiexpose hapa JF kama yeye alivyofanya?We umemaanisha asingeleta *uzi hapa*...akae kimya... unataka afie na tai shingoni...
Asemaje wakati namkwepa?Your man anasemaje?? Seems unamuogopa mwanamke wako huyo au tuseme yupo juu yako kiasi kwamba hauko huru kumuuliza hilo
cc Smart911
Kashasoma mbona hapa, we tembeza mbunye tu hiyo km meno bado ipo, huyo unamuita my man ni x wako hapo mbele kwa tabia hizo nae atapangusa tu hiyo papuchi na kupiga mchi.Sasa nafanyaje?namkwepaje huyu mtu?
My man is very serious about me
Akisikia haya sijui hata nitamjibu nini
Sijajiexpose nobody knows meHivi wewe unaweza kujiexpose hapa JF kama yeye alivyofanya?
No sema the guy is very arrogantkwa hiyo kila mtu akikufos wewe unampa tu!
Yes...kwani wewe unanijua...au unamjua yeye au fake ID...na ndio maana JF iliweka fake ID ili tufungukeHivi wewe unaweza kujiexpose hapa JF kama yeye alivyofanya?
Donatila angalia majibu kama haya kutoka kwa mtu ambaye alisema hivi: Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's - JamiiForums cc: Mzigua90Magonjwa gani nilitumia kinga
Usinihukumu
Sasa kama mtu anakufoc hadi anataka kuleta skendo ulitaka nifanyaje?
Hahaha hajasomaKashasoma mbona hapa, we tembeza mbunye tu hiyo km meno bado ipo, huyo unamuita my man ni x wako hapo mbele kwa tabia hizo nae atapangusa tu hiyo papuchi na kupiga mchi.
Mwanaume wa mikoani atakuja kukuoa na mtacheza ile minyimbo yenu mliokariri kwenye harusi na ma x watatulia tu kwenye meza harusini wakila ubwabwa na bia.
Nyau we
The best comment ever in this yearwanaachana kama mwanaume anataka iwe hivyo!