The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
- Thread starter
- #201
Hahaha ukwel mchunguJamii ya Wanawake inapotea pia
Hahaha ukwel mchunguJamii ya Wanawake inapotea pia
Ni tabu hahahahHeee, hamna mwanamke hapa, huyu dada! duh
Tumia.Tumia ama mnatumiana?
Huwa abetMamama..eee walahi jamaa na hiyo laki yake si bora ata angebetia tu.
Sawa ila watumia energy si ndio?Tumia.
Ameni, niombee sana baba MchungajiWw mwanamke ni kicheche unaitaji maombi sana
Hapo umekosea watake radhi wanawake aisee, wanawake ni waaminifu sana na ndo wanaolinda ndoa, nawaheshimu sana wanawake.Mwanamke yeyote alokamilika ni mala.ya
Unless awe na tatizo ama hajakamilika
Chunguza utanambia
Wee ni chizi kweli hahahaaaaaa.Ameni, niombee sana baba Mchungaji
Ok nawataka radhiHapo umekosea watake radhi wanawake aisee, wanawake ni waaminifu sana na ndo wanaolinda ndoa, nawaheshimu sana wanawake.
Mwanamke popote ulipo heshima kwako, na Mungu akusamehe kama uliwahi kuzini.
Hahahah sasa ulitaka nisemaje?Wee ni chizi kweli hahahaaaaaa.
huna akili wew mwanamke means hujali utu unajali pesa yaan kuwa na mwanamke kama ww ni saw na kujipeleka vitan kwa gharama zako mwenyeweAsemaje wakati namkwepa?
Namwogopa mwanaume wangu yes na nampenda,sitak ajue yaliyojiri
Najua maamuz yake
Ex naye anataka ajulikane
Pesa zimempa kiburi
Huwa miguu inakuwa haina nguvu baada ya shughuli unakuta kalegea kama cheni, sasa mtu kama huyo nguvu zimeenda wapi baada ya tendo??Sawa ila watumia energy si ndio?
Naam!Ok nawataka radhi
Satisfied?
Ok basi anzia sitajal pesa tenahuna akili wew mwanamke means hujali utu unajali pesa yaan kuwa na mwanamke kama ww ni saw na kujipeleka vitan kwa gharama zako mwenyewe
Sawa nimeacha rasmiNaam!
Hiyo ni kawaida kutokana na mgawanyo wa majukumu kiasili.That's y kuna wajane wengi kuliko wagane
Tafakari
Sawa nimekuelewa na nitajitahid kubadilikaHiyo ni kawaida kutokana na mgawanyo wa majukumu kiasili.
50+ angalieni afya zenu kujiepusha na magonjwa sugu na vifo vya ghafla - JamiiForums
Itapendeza🙂.Sawa nimekuelewa na nitajitahid kubadilika
Uzi huu unaniuma utazan mm ni uyo Mr wako aisee ngoja ninye grass moja ya jack Daniel nilale .Usiku mwema eeh mwanamke usie rizika sorry for that.Ok basi anzia sitajal pesa tena
Manake wanawake wakibongo ni watakatifu sana,hawachepuki,hawataki pesa,inshort wanapenda sana wanaume makapuku